Yametimia, ndege ya ATCL, Dash8-Q400 angani

Yametimia, ndege ya ATCL, Dash8-Q400 angani

Mimi hofu yangu ni muda wa safari kuwa mrefu hivyo kushindwa kushindana na Fastest katika same root na hivyo kukosa faida na kushindwa kukua kibiashara. Sio mikoa yote ina idadi kubwa ya wananchi wanaweza kumudu kupanda ndege. Jamaa waumize kichwa na kufanya restructuring ya shirika sasa

Cha msingi ni kuwa Wazalendo kwa kupanda ndege yetu mkuu, kama wewe si mzalendo hutapanda, mbona watu tunapanda mabasi karibia masaa 15, toka dar to mwanza? wewe saa moja na nusu umeshaanza kulalamika? utakuwa na matatizo si bure
 

Nasikia haikunji matairi.....

Iko standby kutua mahala popote pale endapo itilafu itatokea kwenye ndege....

Ni moja ya safety policy ya hiyo ndege.....
(Matairi nje muda wote)
Ndio maana umejiita lil wayne ...akili za mwenye hilo jina na tabia zake zinajulikana
image.jpeg
 
Hongera sana Raisi wetu JPM!

Sasa tuongeze jitihada za kuboresha na kuongeza viwanja vya ndege angalu kila mkoa uwe na uwanja wa uhakika, hii itaongeza 'chachu' katika uchumi wetu na itafungua fursa zilizopo ktk mikoa mingine.
 
Kaburi hilo linakuja,nchi tajiri kama tz mmeshindwa kununua AIR BUS 320?

Unaweza kuta uzoefu wako ni kukata vitunguu,sector ya anga ina wataalamu wake ni vyema ukatafuta habari kutoka vyanzo sahihi badala ya kukimbilia kuponda wakati hujui unachokipinga.
 
Ndege ya ATCL angani ikipasua anga na mawingu kwa ajili ya Test Flight. Sasa ni tayari kwa safari ya kuja nyumbani.

Alama ya Twiga wetu inaenda kuruka na kutambaa katika milima na mabonde ya Tanzania. Tunarudi tena katika anga la Tanzania. Nia ya dhati iliyotumika kulifufua shirika hili, itumike pia kutuweka watanzania kama wamoja, kwa chuki na uhasama wa "kuminywa demokrasia", turudishwe na tuwe wamoja.

Tunaenda hatua kwa hatua,kwa ile kanuni yetu ya "JF be the first to know", welcome back home.

The Wings of the Kilimanjaro

View attachment 390071

Hakuna kitu nilichokifurahia kama kumrudisha Twiga wetu katika ndege yetu hii mpya! Hii ni habari njema kabisa. Twiga ni mnyama mnyenyekevu licha ya shingo refu, mtaratibu, mwenye kutembea kwa madaha na uhakika! Ni utambulisho bora kabisa kwa taifa letu kwa muda mrefu! Swali la kujiuliza ni je Twiga anarejeshwa lakini ule unyenyekevu wetu kama taifa kwa utu wa binadamu, uvumilivu wetu kama taifa upo bado? Tusije tukawa na alama ambayo haifanani na utaifa wetu!
 
Ndege ya ATCL angani ikipasua anga na mawingu kwa ajili ya Test Flight. Sasa ni tayari kwa safari ya kuja nyumbani.

Alama ya Twiga wetu inaenda kuruka na kutambaa katika milima na mabonde ya Tanzania. Tunarudi tena katika anga la Tanzania. Nia ya dhati iliyotumika kulifufua shirika hili, itumike pia kutuweka watanzania kama wamoja, kwa chuki na uhasama wa "kuminywa demokrasia", turudishwe na tuwe wamoja.

Tunaenda hatua kwa hatua,kwa ile kanuni yetu ya "JF be the first to know", welcome back home.

The Wings of the Kilimanjaro

View attachment 390071
ni mapema sana kusema ila naona huko mbele tuendako nawaonea sana huruma Twiga wetu. wakati AIRTZ imestaq twiga wetu walipanda ndege za Mzungu kwa kulipwa nauli na waheshimiwa sana kwenda ughabuni, sasa kuna AIRTZ si ndio watasafirishwa bila nauli. masikini mama Tanzania😕😕😕😕😕
 
Kinachonunua in mipango yake thabiti sio kama ya mwenyekiti wa chama Fulani hats ofisi anashindwa kujenga
BAELEZEE! BANAANDAMANA KUBARABARA ETI NADAI HAKI SISI KONGOMEN NABASHANGAA!!
 
Ndege Boeing! Ndege Airbus! Ndege ATR!! Bombardier?????? Cha mlevi huliwa na.............
 
Kama alivyoweka Nia ya kulifufua na akaanza na ndege chache na ndogo, basi SHIRIKA LITAZIDI KUKUWA NA TUTANUNUA HATA HIZO KUBWA HATA MBUYU ULIANZA KAMA MCHICHA, Hata kama tumechelewa ni bora kuchelewa kuliko kutokufanya kabsaaaaaaaaaaa Ati kwa kuhisi umechelewa, Hongera Mh. Rais.
 
KUNUNUA NDEGE IT'S NOT AN ISSUE,ILA HILO SHIRIKA LA NDEGE WAJIPANGE.....
KIPINDI CHA NYUMA ATC WALIKUWA NA MAI
ENGENEER WAZURI SANA ....
NAMJUA MZEE MMOJA MSTAAFU NI MTAALAM WA BOENG YUKO VZURI SANA....KTK SECTOR HIYO...KUNA MWINGINE ANAZIJUA SANA DASH 8 NAHISI KWA SASA ATAKUWA FASTJET...WAKO WAATALAM SEMA HAWAWATUMI IPASAVYOO....
TATIZO WANASIASA NA VIONGOZI WA SERIKALI UTAWAKUTA WAO WANAINGILIA KAZI ZAO....
 
Zingenunuliwa hizo CT ungeanza kukosoa vile vile. Watu wamejitahidi kujenga madawati tayari wengine wameanza kukosoa, eti oh kwa nini tusingeanza kwa kuboresha vyoo n.k.
Wewe Kama unaona kuboresha vyoo sio muhimu basi hufikirii sawasawa. Kuweka madawati ni sawa lakini kuweka madawati tu na kuacha kuboresha vyoo sio sawa. Choo ni hitaji muhimu katika maisha hivyo wanaolalamika kuhusu hili wako sawa kabisa.
 
Back
Top Bottom