Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,977
- 177,196
Thanks mkuu
Maelezo yako yana msingi mkuu maana hata kunikubalia ilikuwa kwa shingo upande sasa nashangaa alivyobadilika ghafla.
She kind thinking about her pain full past moment.
may be!
Thanks mkuu
Maelezo yako yana msingi mkuu maana hata kunikubalia ilikuwa kwa shingo upande sasa nashangaa alivyobadilika ghafla.
She kind thinking about her pain full past moment.
Kumbe na wanaume wapo wanaochezewa na kuachwa....
sidhani mkuu maana yeye mwenyewe aliomba pause!!
haahaahaaaaaaa....umenikumbusha msukuma yuleeeeeeeeeeeeee...
alikuwa anapiga show ya ukweli mpaka papuchi inaridhika hahaha. itabidi nije nimpiku
Mrejesho
Baada ya kumlia bati huyu demu kanitumia hii name sijamjibu chochote
""""'' G ujue wew ulikuwa hunampango na mm nilikuw na kupima tu yan boyz mmmmmh najuta sana.hv a nyc tym""""
wakuu nimjibu vipi huyu??
cc😡Tized, christine ibrahim
siwezi kazi gani mkuu
mbona nipo vizuri tu na yeye anafahamu?
Habari wana MMU
Kuna binti niliyetokea kumtongoza kama mwezi mmoja uliopita, katika kufahamiana nikagundua binti huyu alikuwa na mpenzi akaachwa.
Yeye pia aliniambia hilo.
Majuzi alikubali Kunipa mchezo usiku kucha bila hiyana na akawa amesafiri.
Nikimtumia meseji hajibu anakuwa kimya tu.
Usiku huu kanitumia huu ujumbe.
Sorry but naomba tubakie like a sister and brother kwa sababu mapenzi yamenichanganya sitaki kuwa na boy yeyote tena in ma life nataka niwe single please nielewe even though tushajuana.
Wakuu naombeni ushauri wenu nitamrudusha vipi kwenye reli maana bado nampenda na hatujawahi kukwazana sijui kapatwa na nini.
Mrejesho
Baada ya kumlia bati huyu demu kanitumia hii nami sijamjibu chochote na ameituma Mara 2 Mimi kimya
""""'' G ujue wew ulikuwa hunampango na mm nilikuw na kupima tu yan boyz mmmmmh najuta sana.hv a nyc tym""""
wakuu nimjibu vipi huyu??
cc: Tized, christine ibrahim