Haeleweki msaada wakuu

Kapepo

JF-Expert Member
Aug 14, 2015
1,063
1,188
Kuna binti nilikuwa na mazoea nae ya kawaida tu hapa kazini napofanyia kazi kama marafiki nikimtumia messages anajibu tu vizuri bila shida, sasa tabu imeanzia hapa nilipomtongoza kwa mara ya kwanza pale nilipomuambia nampenda nimemuelewa alinijibu kwa kuuliza "serious " nikamjibu ndio yeye alinijibu hivi "mhhhh" ndio ukawa mwisho wayeye kupokea simu zangu tena wala kujibu messages hajibu tena, namimi nkaamua kumpotezea sikumtokea tena wala kumsumbua kwa simu ila tukionana kazini tunaongea tu kawaida japo sijampanga tena sasa jana nilikuwa nae mida ya usiku hivi nkaomba nimtoe out to chill sehemu tulivu tuyajenge akasema sawa cha kushangaza nimempgia simu leo hii akaniuliza nani "wewe" doh kidume limenishuka nkakata simu nkamuuliza inamaana umefuta namba zangu akawa kimya hakujibu tena nkampigia nkamwambia mimi mtu fulani akajibu sawa ntakutumia sms bdae kuna kazi nafanya kwakweli mimi huwa sipendi sana kutumia nguvu kwenye kumtongoza mwanamke sasa swali je nini nifanye anielewe aache kuringaringa au dogo hajanielewa mchizi ni move mbele na mitikasi mengine.
NB: kuna jamaa yeye alimtongoza akajibiwa hapohapo kwamba hamuhitaji ila mimi ananikaushia naombeni mawazo yenu wataalam wa hizi kazi.
 
Kubwa zero
Screenshot_20200216-150621.jpeg

Unforgetable
 
sasa jana nilikuwa nae mida ya usiku hivi nkaomba nimtoe out to chill sehemu tulivu tuyajenge akasema sawa cha kushangaza nimempgia simu leo hii akaniuliza nani "wewe"
tatizo wewe bado mtoto kwenye tasnia ya mahusiano, mwenzio alikua anagegedwa wewe ukamkatisha na bado unataka aoneshe anakujua ili jamaa alienae asimpe nauli ya kurudia kwao!? ushaambiwa utatumiwa txt kausha baharia ebooh.
 
m

mkuu ukisema ivyo moyo unauma ujue nipe mbinu za kibaharia kama sitakiwi nijiongeze mapema tu
 
Embu endlea kwanza na mambo yako, Kuna muda hawa dada zetu wanahitaj mtu ambae haonyesh kuwahitaj
 
Tafuta kama laki 5+ hivi,mwambie unataka utoke naye muende kuona vivutio mbalimbali....huko huko unamaliza kila kitu;kama utakuwa na usafiri itakuwa vizuri zaidi.
 
Kama unatafuta kwa ajili ya kuchapa tu fuata ushauri wangu hapo juu;kama ni mke...usitumie nguvu nyingi
 
Kuna binti nilikuwa na mazoea nae ya kawaida tu hapa kazini napofanyia kazi kama marafiki nikimtumia messages anajibu tu vizuri bila shida, sasa tabu imeanzia hapa nilipomtongoza kwa mara ya kwanza pale nilipomuambia nampenda nimemuelewa alinijibu kwa kuuliza "serious " nikamjibu ndio yeye alinijibu hivi "mhhhh" ndio ukawa mwisho wayeye kupokea simu zangu tena wala kujibu messages hajibu tena, namimi nkaamua kumpotezea sikumtokea tena wala kumsumbua kwa simu ila tukionana kazini tunaongea tu kawaida japo sijampanga tena sasa jana nilikuwa nae mida ya usiku hivi nkaomba nimtoe out to chill sehemu tulivu tuyajenge akasema sawa cha kushangaza nimempgia simu leo hii akaniuliza nani "wewe" doh kidume limenishuka nkakata simu nkamuuliza inamaana umefuta namba zangu akawa kimya hakujibu tena nkampigia nkamwambia mimi mtu fulani akajibu sawa ntakutumia sms bdae kuna kazi nafanya kwakweli mimi huwa sipendi sana kutumia nguvu kwenye kumtongoza mwanamke sasa swali je nini nifanye anielewe aache kuringaringa au dogo hajanielewa mchizi ni move mbele na mitikasi mengine.
NB: kuna jamaa yeye alimtongoza akajibiwa hapohapo kwamba hamuhitaji ila mimi ananikaushia naombeni mawazo yenu wataalam wa hizi kazi.
Mpe mshahara wako wa mwezi 1 atafunguka tu
 
Binafsi yangu nikimtongoza mwanamke akawa haeleweki sihangaikagi naye coz naona kama huyo sio fungu langu nafutaga na namba. So kama vp move on haina haja ya kuangaika nae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom