Naona hata lengo LA kupiga simu hulifahamu mkuu...
Mkuu msaada nauhitaji ndiyo maana nipo hapa kuupokea ila suala LA kukupatia namba yake sidhani kama itakuwa sehemu ya msaada mkuu
Nisamehe kwa hilo
she made decision under stress just give her more time to think ....samtyms it happens in life kuna kitu inaitwa maamuz ya hasira hayafai kabisa....especially kwenye mapenzi tunatakiwa kuamua jambo tukiwa conscious...... give her time
Nimeshajiangalia mkuu Sina kasoro yoyote labda kwa sababu sijawahi kumpa hata senti tano yangu.
Habari wana MMU
Kuna binti niliyetokea kumtongoza kama mwezi mmoja uliopita, katika kufahamiana nikagundua binti huyu alikuwa na mpenzi akaachwa.
Yeye pia aliniambia hilo.
Majuzi alikubali Kunipa mchezo usiku kucha bila hiyana na akawa amesafiri.
Nikimtumia meseji hajibu anakuwa kimya tu.
Usiku huu kanitumia huu ujumbe.
Sorry but naomba tubakie like a sister and brother kwa sababu mapenzi yamenichanganya sitaki kuwa na boy yeyote tena in ma life nataka niwe single please nielewe even though tushajuana.
Wakuu naombeni ushauri wenu nitamrudusha vipi kwenye reli maana bado nampenda na hatujawahi kukwazana sijui kapatwa na nini.
Kulingana na maelezo ambayo umetoa mpaka sasa anaonekana huyu binti kaathirika na tendo la kuachwa na x wake. Kwanza haamini mlivokutana kama uliridhika kwasababu unasema ngoma ilimshinda akaomba udhuru. Hiyo ni njia mojawapo ya kuona kama uhitaji wako kwake bado upo kuondoa ile hali anayoihisi. Pili anaweza kuwa analipiza kisasi cha kuachwa maana wapo wa namna hiyo kosa anafanya mwingine analipiza kwa mwingine. Tendo la kuachwa akina dada huwavunja moyo especially kwa mtu aliyempenda na alikuwa na matumaini naye. Anafikiri hili laweza kumtokea kwahiyo kuwahi akakupiga kibuti itampa ahueni ya kutopata maumivu mengine. But with time anaweza kurudi..bado anapita kwenye kipibfi kigumu.
mkuu ulitaka nlimtoe kizazi ndiyo angeridhika?