Kama bado unamtaka ,mwambie poa,halafu kauka kisawasawa usimtamfute asilani,maadam ameshasema muwe kaka na dada iko siku atakutafuta mwenyewe........then we mwanaume utajua cha kufanya
hiyo ni game ambayo anataka uingie akuone unavolialia kwa kumbembeleza..... if she is fine basi mng'ang'anie tu... ila kama unaona atazingua we mwambie akurudishie chenji uondoke
hiyo ni game ambayo anataka uingie akuone unavolialia kwa kumbembeleza..... if she is fine basi mng'ang'anie tu... ila kama unaona atazingua we mwambie akurudishie chenji uondoke
alikua hajafanya muda mrefu...Hamu Ilimjaa so hakua na jinsi ikabidi akupe tu uitafune hadi nye** zake zikaisha, but kashindwa kua na wewe coz anaogopa kunogewa then mkiachana ataumia tena mara nyingine. Kang'atwa na nyoka, lazma aogope majani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.