Yamenikuta, msaada tafadhali

Yamenikuta, msaada tafadhali

Hahaha....kupigwa cha mbavu na msichana uliemgo.nga ni fedhea sana
 
Usifikiri kakosea au hajui anachokifanya. Its a TRICK. We mwambie tu SAWA. then kula bati
Ukikosea tu ukamuonesha hiko ''DESPERATION'' yako. UMEUMIA mzee.

Kama unabisha we mlambe miguu abadilishe msimamo wake uone hivyo vigezo na masharti utavyowekewa. The know how to hit where it hurts and timely for their advantage but at your disadvantage. Pls be a gentleman enough.
You are a smart guy judging from from this super insight
 
Kinachokuuma zaidi ni kufikiri kwanini kakuacha ghafla ivyo....
Mapenzi ya walio wengi siku hizi ni "timing", "usipo niacha nakuacha"
 
Mrejesho

Baada ya kumlia bati huyu demu kanitumia hii name sijamjibu chochote

""""'' G ujue wew ulikuwa hunampango na mm nilikuw na kupima tu yan boyz mmmmmh najuta sana.hv a nyc tym""""


wakuu nimjibu vipi huyu??


cc😡Tized, christine ibrahim



Duh ht ckuoni
Hope u a gud!
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa,we c uachane nae mkuu,shida iko wapi,kama kuonja c ushaonjeshwaaa
 
Leta details zake usaidiwe. Ni wa dar? Elimu yake, mmekutana wapi, anajishughulisha na nini
 
Habari wana MMUKuna binti niliyetokea kumtongoza kama mwezi mmoja uliopita, katika kufahamiana nikagundua binti huyu alikuwa na mpenzi akaachwa.Yeye pia aliniambia hilo.Majuzi alikubali Kunipa mchezo usiku kucha bila hiyana na akawa amesafiri.Nikimtumia meseji hajibu anakuwa kimya tu.Usiku huu kanitumia huu ujumbe.Sorry but naomba tubakie like a sister and brother kwa sababu mapenzi yamenichanganya sitaki kuwa na boy yeyote tena in ma life nataka niwe single please nielewe even though tushajuana.Wakuu naombeni ushauri wenu nitamrudusha vipi kwenye reli maana bado nampenda na hatujawahi kukwazana sijui kapatwa na nini.
Unampenda kitu gan acha uongo, mchezo mara moja tu umepagawa je kama angepitisha round ya pili. kwanza inaonekana hujamkosha alitegemea kapata mchezaji kumbe kanjanja, nakushaur temana naye
 
Unampenda kitu gan acha uongo, mchezo mara moja tu umepagawa je kama angepitisha round ya pili. kwanza inaonekana hujamkosha alitegemea kapata mchezaji kumbe kanjanja, nakushaur temana naye

Thanks kwa ushauri mkuu
 
Nimeshajiangalia mkuu Sina kasoro yoyote labda kwa sababu sijawahi kumpa hata senti tano yangu.

Kumbe sababu unyotayar umpige usk mzm bure kweli yuko sawa kbs ht kwa mganga nilivyoshaur usiende tena ww tuma hela tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom