Aisee umejuaje?
Mrejesho
Baada ya kumlia bati huyu demu kanitumia hii name sijamjibu chochote
""""'' G ujue wew ulikuwa hunampango na mm nilikuw na kupima tu yan boyz mmmmmh najuta sana.hv a nyc tym""""
wakuu nimjibu vipi huyu??
cc😡Tized, christine ibrahim
mitano
kwani vipi mbona umeuliza umri mkuu?
Mrejesho
Baada ya kumlia bati huyu demu kanitumia hii nami sijamjibu chochote na ameituma Mara 2 Mimi kimya
""""'' G ujue wew ulikuwa hunampango na mm nilikuw na kupima tu yan boyz mmmmmh najuta sana.hv a nyc tym""""
wakuu nimjibu vipi huyu??
cc: Tized, christine ibrahim
Habari wana MMU
Kuna binti niliyetokea kumtongoza kama mwezi mmoja uliopita, katika kufahamiana nikagundua binti huyu alikuwa na mpenzi akaachwa.
Yeye pia aliniambia hilo.
Majuzi alikubali Kunipa mchezo usiku kucha bila hiyana na akawa amesafiri.
Nikimtumia meseji hajibu anakuwa kimya tu.
Usiku huu kanitumia huu ujumbe.
Sorry but naomba tubakie like a sister and brother kwa sababu mapenzi yamenichanganya sitaki kuwa na boy yeyote tena in ma life nataka niwe single please nielewe even though tushajuana.
Wakuu naombeni ushauri wenu nitamrudusha vipi kwenye reli maana bado nampenda na hatujawahi kukwazana sijui kapatwa na nini.
Wakati mwingine sio kwamba binti akikupa K maana yake ame-fall. Inawezekana kabisa tamaa za mwili zikamsukuma kufanya hivyo lakini moyoni mwake haupo kabisa.
Ni bora alivyokwambia ukweli ambao wengi hamuupendi.
Kama ni hilo tu mkuu fanya kuomba msaada kwa Mwakyembe...
kumbe usipo gegeda vizuri demu harudi loh!!