Yamenikuta, msaada tafadhali

Yamenikuta, msaada tafadhali

kuna kitu kagundua, mwanamke akupe uchi siku moja kisha akuache yeye, jitafakari hapa ushauri hakuna jiangalie mwenyewe.
 
Nimeshajiangalia mkuu Sina kasoro yoyote labda kwa sababu sijawahi kumpa hata senti tano yangu.
 
Pole mwaya.... ka vipi mjibu tu "poa sio kesi" kisha kula bati afu uone usikute anakujaribu kukupima.
 
Habari wana MMU

Kuna binti niliyetokea kumtongoza kama mwezi mmoja uliopita, katika kufahamiana nikagundua binti huyu alikuwa na mpenzi akaachwa.

Yeye pia aliniambia hilo.

Majuzi alikubali Kunipa mchezo usiku kucha bila hiyana na akawa amesafiri.

Nikimtumia meseji hajibu anakuwa kimya tu.

Usiku huu kanitumia huu ujumbe.

Sorry but naomba tubakie like a sister and brother kwa sababu mapenzi yamenichanganya sitaki kuwa na boy yeyote tena in ma life nataka niwe single please nielewe even though tushajuana.

Wakuu naombeni ushauri wenu nitamrudusha vipi kwenye reli maana bado nampenda na hatujawahi kukwazana sijui kapatwa na nini.

Hayo yanaitwa tumalizane leo leo shida sitaki, hapo inaelekea karudi kwa mshikaj wake wa zaman au bado anapima raha ya utamu hakiipata ndo atakapotulia usiumize kichwa mdau mapenzi ya kileo
 
Nimekusoma mkuu
 
daaaa bas nikajua huyo demu sijui kakufanyia nini cha ajabu khaaaa..... kumbe hicho tu shukuru mungu
 
Duh inaumaee demu akipiga chinieee, hapo mwenzio alikua field sasa kashamaliza inabidi apeleke report sehemu husika
 
Habari wana MMU

Kuna binti niliyetokea kumtongoza kama mwezi mmoja uliopita, katika kufahamiana nikagundua binti huyu alikuwa na mpenzi akaachwa.

Yeye pia aliniambia hilo.

Majuzi alikubali Kunipa mchezo usiku kucha bila hiyana na akawa amesafiri.

Nikimtumia meseji hajibu anakuwa kimya tu.

Usiku huu kanitumia huu ujumbe.

Sorry but naomba tubakie like a sister and brother kwa sababu mapenzi yamenichanganya sitaki kuwa na boy yeyote tena in ma life nataka niwe single please nielewe even though tushajuana.

Wakuu naombeni ushauri wenu nitamrudusha vipi kwenye reli maana bado nampenda na hatujawahi kukwazana sijui kapatwa na nini.

sitaki kuamini kama wrwe ni kibamia..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom