Yamenikuta, msaada tafadhali

Yamenikuta, msaada tafadhali

1. Usilazimishe mapenzi, kama kakutema kaa kimya.

2. Ukilazimisha atakuja na masharti makubwa sana.

3. Inawezekana uliperform vibaya sana kwenye test yake ya kukupa game.

Sijalazimisha mkuu

Kuhusu performance sina wasiwasi na hilo huenda kuna sababu nyingine.
 
Kazi ya moyo ni kusuku::ma damu tuu..haya mapenz mnayabambikiza...
 
Kinga muhimu na kama kaniachia vidudu mpaka miezi mitatu


Udhaifu sijauona means aliishiwa nguvu katikati ya mchezo akilalamika tumbo linamuuma na alikuwa akisafiri kesho yake.

Anasema alikuwa katika siku zake.

Kwa hiyo ulimfanya akiwa period???? Aseeee
 
aahaaaaaa tatizo la kibamia aaahaaaaaaa mambo hayo huyawez tuachie wenyewee
 
MTU akikwambia hakutaki shukuru Mungu jua hana mapenzi na wewe, sasa wewe lazimisha yakukute makubwa zaidi huko mbele.
 
mkuu ushauri wako nimeupokea kwa mikono miwili nashukuru.

Nilitaka Kukwambia huu ndo ushauri. From TIZED

Tenabaada ya kumwambia 'SAWA'
ongeza, naheshimu maamuzi yako!
Na baada ya hapo piga kimya ww mwanaume huwezi kushindwa
Akituma msj jibu short bt clear
Ila ww usimtafute ....then utamuona akianza kuhangaika
 
dogo huwajui wafanyabiashara wa bucha wewe....kuwa makini hapo unaandaliwa kuumizwa.
 
Mjibu hivi .....ok. then endelea na maisha yako muache aendelee na uamuzi wake.
 
Nilitaka Kukwambia huu ndo ushauri. From TIZED

Tenabaada ya kumwambia 'SAWA'
ongeza, naheshimu maamuzi yako!
Na baada ya hapo piga kimya ww mwanaume huwezi kushindwa
Akituma msj jibu short bt clear
Ila ww usimtafute ....then utamuona akianza kuhangaika

kumbe wajijua
 
Hebu kapime kwanza afya....
Pili hiyo ......ni size ambayo aliridhika nayo kweli !?




Habari wana MMU

Kuna binti niliyetokea kumtongoza kama mwezi mmoja uliopita, katika kufahamiana nikagundua binti huyu alikuwa na mpenzi akaachwa.

Yeye pia aliniambia hilo.

Majuzi alikubali Kunipa mchezo usiku kucha bila hiyana na akawa amesafiri.

Nikimtumia meseji hajibu anakuwa kimya tu.

Usiku huu kanitumia huu ujumbe.

Sorry but naomba tubakie like a sister and brother kwa sababu mapenzi yamenichanganya sitaki kuwa na boy yeyote tena in ma life nataka niwe single please nielewe even though tushajuana.

Wakuu naombeni ushauri wenu nitamrudusha vipi kwenye reli maana bado nampenda na hatujawahi kukwazana sijui kapatwa na nini.
 
Kabisa mkuu.. Huyo binti anampenda chakii ila kuna vitu vyake anataka avishikishe kwa jamaa.. akiwa sober hivyo hatafanikiwa.. kwa hio anampa uoga ili afanye hivyo vitu kwa woga kwamba nisipofanya nitaachwa... anakua amekushinda kirahiiiisi.

Dawa yao hao... Unakula Bati mazima .. uone atakavyoanza kuomba msamaha.. ooh sijui nini nini? Wanawake wanahitaji sana akili kukaa nao.. msiwaamini sana vijana wangu... Muda mwingi husema kinyume na vile watakavyo uli kuwa vile watakavyo
Hawajui wanawake ataendeshwa kama gari bovu hata kama amempenda inabidi acheze karata yake vizuri la sivyi itakula kwake na atajuta mwenyewe.....
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom