Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,946
- 38,668
- Thread starter
- #61
Binti alifanya mistake siku moja akatuma sms usiku wa manane nimelala kwamba amepigwa sana na baba yake kwa kosa la kumtetea mdogo wake alipiwe ada. Na ameumizwa sana hivyo akamalizia na neno sweetie....Ngoja nikuulize,
Je, aliona sms au alikukamata red handed?....
Hapo wife akili zikakaa attention na akaanza kuwasiliana naye kwa text kwa kificho. Na kila usiku nikilala anachukua simu na kumtext kuangalia kama mahaba yapo au lah. Binti akawa anatiririka tu. (Nilishamkanya asiwe anatext bali mie ntampigia tuongee)....
Sasa akafanya mpango hadi akampata binti uso kwa uso mjini... baada hapo kilichofuata ni balaa maana hakuniambia kama anawasiliana naye.
Hapo kaka kukataa ni ngumu maana binti mwenyewe anakiri kwamba tuna mahusiano...
Kilichofuata hapo ni balaa bin janga.