Yamenikuta: Mama mkwe anataka nifanye nae mapenzi

This guy is a joker

Huyu ni mmoja kati ya watu wachache ambao wanafanya jukwaa la MMU kama sehemu ya utani(kutunga umbea wao).

Hii ya leo anasema "ana muda wa miaka 7 katika ndoa yake" wakati mwaka jana alisema "ana muda wa miaka miwili katika ndoa yake". Hivyo huyu ni mmoja kati ya watu wanaocheza na akili za watu.
Mimi ni kijana umri wangu miaka 40. Kazi yangu mwalimu na nina mke wa ndoa ambaye nimeishi naye kwa muda wa miaka 7 sasa.

Hii hapa chini aliituma tarehe 23 october 2012, huku akidai amekaa kwenye ndoa kwa muda wa miaka 2.
AM NOT HAPPY WITH THE FRIENDS OF MY WIFE

Hi Guys . Been married for 2 years now. Love my wife so much. But something disturbs me. All of her close friends are not married and they are her biggest advisers. Am very Uncomfortable about this and i have requested her to drop off these friends and look for married friends who can give her good advice on marriage and relationships. But she has become wild and the other day, she invited her friends over and they all told me off. The friends told me that i met her when she was already friends with them and i should respect that. Should i be worried??

Kwa maelezo zaidi pitia link hii am-not-happy-with-the-friends-of-my-wife-pse-help.
 
Huyo mamamkwe wako yupo FACEBOOK??au JF maana yawezekana ni secretary na kila siku anasoma visa vya mitandaoni anaona nibora akugegede mwenyewe....je Mda wote huo ukuwaza kwenda hsptal?mpaka miaka 7ndo unashtuka?labda anaona wewe punga ndo maana anaona ngoja nijihakikishie??au mkeo ni rafiki wa mamake zaidi ya mtoto kila jambo wanaonge hata akichiti ansema na ukimgegeda anamwambia mamake??Fanyia kazi mamb hayo na usimpe tena uwezo wakukwambia ujinga kama huo!
:A S 39::A S 39::A S 39::A S 39::whistle::whistle::whistle::whistle::whistle::whistle::whistle::whistle::whistle:
 
Hii mada ni ya kubuni wacha na mimi nitoe ushauri wa kubuni.

Waoe wote mtu na mwanaye..........
 
Huyu ni mmoja kati ya watu wachache ambao wanafanya jukwaa la MMU kama sehemu ya utani(kutunga umbea wao).

Hii ya leo anasema "ana muda wa miaka 7 katika ndoa yake" wakati mwaka jana alisema "ana muda wa miaka miwili katika ndoa yake". Hivyo huyu ni mmoja kati ya watu wanaocheza na akili za watu.

Hii hapa chini aliituma tarehe 23 october 2012, huku akidai amekaa kwenye ndoa kwa muda wa miaka 2.

Kwa maelezo zaidi pitia link hii am-not-happy-with-the-friends-of-my-wife-pse-help.
hawa ndio walifelisha watoto wetu wa form 4 hakianani haiwezekani mwalimu akawa waluwalu namna hii
 
Huyu ni mmoja kati ya watu wachache ambao wanafanya jukwaa la MMU kama sehemu ya utani(kutunga umbea wao).

Hii ya leo anasema "ana muda wa miaka 7 katika ndoa yake" wakati mwaka jana alisema "ana muda wa miaka miwili katika ndoa yake". Hivyo huyu ni mmoja kati ya watu wanaocheza na akili za watu.

Hii hapa chini aliituma tarehe 23 october 2012, huku akidai amekaa kwenye ndoa kwa muda wa miaka 2.

Kwa maelezo zaidi pitia link hii am-not-happy-with-the-friends-of-my-wife-pse-help.

jamaa atakua amemtamani mkwe wake ndo maana kabuni thread nini? [/color
 
achana na hayo mawazo ya kishirikina, nenda kwa kanisani kaombewe utapata mtoto.
 
Kama issue ni mtoto tuu mnaweza mka'adopt na mkaishi kwa furaha na amani.
 
Na mkeo ameitwa na Baba yako.....sema yeye ajaamua kuleta humu JF
 
Kitendo cha wewe kuja kuomba ushauri hapa kinadhihirisha kuwa personally huna tatizo na kula mzigo mkwe wako. Kwahiyo hapa ishu ni kama hiyo itasadia kupata mtoto au haisaidii.
Hakuna mechanism ya kisayansi itakayosaidia kupata mtoto kwa kumla mkweo, kwa hiyo kama unamla we kula kama pambano la kirafiki tu, lakini matibabu sio kisingizio...
 
huyo mama mkwe ni mchawi
na anajua alimfanya nn mtoto wake
hapo ni maombi tu yanatakiwa bas!
usitende hiyo dhambi!

Huyu ni mmoja kati ya watu wachache ambao wanafanya jukwaa la MMU kama sehemu ya utani(kutunga umbea wao).

Hii ya leo anasema "ana muda wa miaka 7 katika ndoa yake" wakati mwaka jana alisema "ana muda wa miaka miwili katika ndoa yake". Hivyo huyu ni mmoja kati ya watu wanaocheza na akili za watu.

Hii hapa chini aliituma tarehe 23 october 2012, huku akidai amekaa kwenye ndoa kwa muda wa miaka 2.

Kwa maelezo zaidi pitia link hii am-not-happy-with-the-friends-of-my-wife-pse-help.

safi sana,anatupotezea mda tu huyu lofa
 
Back
Top Bottom