Yamenikuta: Mama mkwe anataka nifanye nae mapenzi

Yamenikuta: Mama mkwe anataka nifanye nae mapenzi

Stupid thread. Acha kutuma thread za kutupotezea muda kila mwaka. Mwaka jana uliituma hii pia ukidai upo kaika ndoa miaka 2! Sasa baada ya mwaka mmoja kupita imekuwa 7! Au hesabu ni Mama mkwe? Matokeo yako ya Form Four ni yale ya mwaka jana nini!
 
If you want to be a good lier you should be of good Memory, kwani ushahau kama mwaka jana ulisema una miaka 2 katika ndoa yake na huwafurahii marafiki wa Mke wako, leo hii una miaka saba toka umeowa au ni wake tofauti.

du kweli hi ni jukwaa la great thinker
 
Huyu ni mmoja kati ya watu wachache ambao wanafanya jukwaa la MMU kama sehemu ya utani(kutunga umbea wao).

Hii ya leo anasema "ana muda wa miaka 7 katika ndoa yake" wakati mwaka jana alisema "ana muda wa miaka miwili katika ndoa yake". Hivyo huyu ni mmoja kati ya watu wanaocheza na akili za watu.


Hii hapa chini aliituma tarehe 23 october 2012, huku akidai amekaa kwenye ndoa kwa muda wa miaka 2.


Kwa maelezo zaidi pitia link hii am-not-happy-with-the-friends-of-my-wife-pse-help.

Inawezekana alikuwa naye kabla ya kufunga ndoa baadaye kwahiyo wana uhusiano kwa miaka 7 lakini ndoa ni hiyo miaka 2 may be!
 
mpaka umekuja kuomba ushauri huku, ni kwamba hata wewe inaonekana ushauri wa mama mkwe bado unaweza kuufanyia kazi kama utapata watu ambao watakuunga mkono. Si ajabu ulishaichafua, sasa umekuja humu kutafuta uhalali tu. Mama mkwe wa siku hizi si kama wa zamani tena wengine ni warembo kuliko watoto zao. Gonga mzee, usiulize ulize. Si kaileta mwenyewe? Kula!!
huu ni ufisadi na uchafu!!!
 
Kaa mbali na mama mkwe wako. Alisubiri upewe vipimo vya hospitali ndiyo aje na hoja yake hiyo? Wakwe wengine noma.


Akili kichwani mwako.
 
Kwa maelezo yake kwamba"vinginevyo hutapata mtoto" inaonesha wazi yeye ndo chanzo cha ninyi kutopata watoto,asilimia zote kwamba yeye ndo kapiga lock hivyo ni kumwendea na panga tu- hawa wachawi wanaogopa sana mapanga.bila hivyo utazaa naye.
 
hivi na suala kama hilo unaomba ushauri ndg yangu? vitu vingine jamani tuwe tunatumia akili za kawaida tu. Huyo bibi ni mchawi wala hilo halihitaji mjadala, hakuna mtu anayeweza kumuambia mkwe wake maneno machafu namna hiyo bila hata aibu! huyo ndiye amemloga binti yake, hapo ni maombi tu ndio yanaweza kumfungua mkeo na ninyi nyote, tena wewe uombe zaidi kwani kakutamkia hilo, inabidi uombe zaidi washirikishe watumishi wa Mungu wakuombee
 
[h=5]Mimi ni kijana umri wangu miaka 40. Kazi yangu mwalimu na nina mke wa ndoa ambaye nimeishi naye kwa muda wa miaka 7 sasa.

Mpaka sasa hatujapata mtoto, mwezi uliopita ilibidi tushauriane na mke wangu kwenda Hospitali kwa ajili ya uchunguzi ili kujua tatizo na namna ya kulitatua.

Baada ya vipimo ilionekana mimi na mke wangu ni wazima kabisa na hatuna matatizo ya uzazi kama nilivyohisi awali kwani familia yangu imekuwa ikisema mke wangu hana uzazi na upande wa mke wangu wanadai mimi sina mbegu za uzazi.

Ilibidi mimi niwajulishe hali halisi wazazi wangu na mke wangu nikamwambia awaeleze wazazi wake ili maneno maneno yaishe bali tusubiri neema ya Mungu kwani yeye ndiye muweza.

Baada ya kuwajulisha pande zote mbili, mama mkwe wangu aliniita niende kwake mimi tu ana mazungumzo nami ya faragha kuhusiana na tatizo letu.

Juzi nilienda mida ya mchana nikapikiwa chakula kizuri na nikaambiwa na shemeji yangu kuwa mama ataongea nami usiku akiwa ametulia.

Alichoniambia ni hiki ''Ili ndoa yenu ipate mtoto ni Lazima nikutengenezee dawa na ufanye MAPENZI na mimi kwa muda wa siku mbili, mwanangu sikulazimishi ni uamuzi wako mwenyewe. Ukiacha hutazaa milele. Nenda ukafikirie na mkeo usimwambie haya''

Sina hali mwenzenu, Naomba msaada wa Mawazo......[/h][/QUOTE

wewe una 40yrs, huyo mkweo ana umri gani, usikute ana 38! Sasa kama umri unaruhusu kwa nn asikuletee story hizo? kaza moyo mzee, mgonjwa hachagui dawa'p
 
Stupid thread. Acha kutuma thread za kutupotezea muda kila mwaka. Mwaka jana uliituma hii pia ukidai upo kaika ndoa miaka 2! Sasa baada ya mwaka mmoja kupita imekuwa 7! Au hesabu ni Mama mkwe? Matokeo yako ya Form Four ni yale ya mwaka jana nini!

aisee wish ningekuwa natumia pc ningekugongea like
 
Muulize mama mkwe anataka umgegede hadi mtandao wa bei nafuu?
 
Hadi miaka 7, hamjawahi kwenda hospital? Ndio mnashauriana now? he he he he he, hizi ndowa hizi!!!

Mama Mkwe ana ugwadu? Mme wake yuko hai? Au alimtengeneza bintie?

Nenda katafute suluhisho za kitabibu, si mpandikize hizo mbegu??

Mnaogopa gharama za pesa na kukumbatia gharama za kishetani tu


Mkuu, huyu jamaa hayuko serious, pitia uzi alioleta mwaka jana hapo juu kwa Kasembe wakati ndoa yake ina miaka 2.
 
msimuhukumu maybe amepewa aulete humu ndani then mawazo atakayopewa yatamsaidia mhusika by the way huu ndo ulimwengu wa digtal kila kitu live bila chenga
 
Me mlishackia mkasa kama huo, mahalu pengine! kilichotokea hapo ni kwamba huyo mama mkwe wako alisha tembea na ndugu wako (mdogo wako au kaka yako) so kwa baadhi ya mila hamuta pata mtoto hadi na we umtafune mm mkwe! so we ndo muamuz kula au kuacga
 
Back
Top Bottom