Yamenikuta: Mama mkwe anataka nifanye nae mapenzi

Yamenikuta: Mama mkwe anataka nifanye nae mapenzi

Huyu ni mmoja kati ya watu wachache ambao wanafanya jukwaa la MMU kama sehemu ya utani(kutunga umbea wao).

Hii ya leo anasema "ana muda wa miaka 7 katika ndoa yake" wakati mwaka jana alisema "ana muda wa miaka miwili katika ndoa yake". Hivyo huyu ni mmoja kati ya watu wanaocheza na akili za watu.

Hii hapa chini aliituma tarehe 23 october 2012, huku akidai amekaa kwenye ndoa kwa muda wa miaka 2.

Kwa maelezo zaidi pitia link hii am-not-happy-with-the-friends-of-my-wife-pse-help.

SHE is styupidi
 
Mimi ni kijana umri wangu miaka 40. Kazi yangu mwalimu na nina mke wa ndoa ambaye nimeishi naye kwa muda wa miaka 7 sasa.

Mpaka sasa hatujapata mtoto, mwezi uliopita ilibidi tushauriane na mke wangu kwenda Hospitali kwa ajili ya uchunguzi ili kujua tatizo na namna ya kulitatua.

Baada ya vipimo ilionekana mimi na mke wangu ni wazima kabisa na hatuna matatizo ya uzazi kama nilivyohisi awali kwani familia yangu imekuwa ikisema mke wangu hana uzazi na upande wa mke wangu wanadai mimi sina mbegu za uzazi.

Ilibidi mimi niwajulishe hali halisi wazazi wangu na mke wangu nikamwambia awaeleze wazazi wake ili maneno maneno yaishe bali tusubiri neema ya Mungu kwani yeye ndiye muweza.

Baada ya kuwajulisha pande zote mbili, mama mkwe wangu aliniita niende kwake mimi tu ana mazungumzo nami ya faragha kuhusiana na tatizo letu.

Juzi nilienda mida ya mchana nikapikiwa chakula kizuri na nikaambiwa na shemeji yangu kuwa mama ataongea nami usiku akiwa ametulia.

Alichoniambia ni hiki ''Ili ndoa yenu ipate mtoto ni Lazima nikutengenezee dawa na ufanye MAPENZI na mimi kwa muda wa siku mbili, mwanangu sikulazimishi ni uamuzi wako mwenyewe. Ukiacha hutazaa milele. Nenda ukafikirie na mkeo usimwambie haya''

Sina hali mwenzenu, Naomba msaada wa Mawazo......
Usirudi tena huko kwa mama mkwe
 
Pole sana. Huyo mama ni mchawi si bure . Kuhusu uzazi hebu jaribu kumuona dr Angela thomas anzia kumtafuat muhimbili na huenda bado yupo hosptali ya tumaini. Siku nyingi sana sina taarifa zake lkn ni dr mzuri sana amesaidia wengi.
 
If you want to be a good lier you should be of good Memory, kwani ushahau kama mwaka jana ulisema una miaka 2 katika ndoa yake na huwafurahii marafiki wa Mke wako, leo hii una miaka saba toka umeowa au ni wake tofauti.
 
Huyu ni mmoja kati ya watu wachache ambao wanafanya jukwaa la MMU kama sehemu ya utani(kutunga umbea wao).

Hii ya leo anasema "ana muda wa miaka 7 katika ndoa yake" wakati mwaka jana alisema "ana muda wa miaka miwili katika ndoa yake". Hivyo huyu ni mmoja kati ya watu wanaocheza na akili za watu.

Hii hapa chini aliituma tarehe 23 october 2012, huku akidai amekaa kwenye ndoa kwa muda wa miaka 2.

Kwa maelezo zaidi pitia link hii am-not-happy-with-the-friends-of-my-wife-pse-help.

haya sasa mkiambiwa humu kwa magreat thinker, mnadhani mchezo eeh?? haya mmtread wa mwaka jana watu wanaukumbuka...

siku nyingine hatarudia...
 
Najua truely una mkwe,
lkn kumtungia huu uongo
nathubutu kusema wewe ndiye mchawi!
 
40 yrs and u consider urself a kijana?? For ur info kijana anaishia 35.
 
unakwenda ukweni, unalala kabisa hadi unapikiwa menu na kuonea na mama usiku>?? ulikuwa safari ama??
miaka 7 ndo mnakwena hosp??

mmh! skazi wewe unafanya kazi kwa shigongo ngoja nikuendee hewani.
 
Na ukikubali na mkeo akapata mimba lazima mtazaa kajini.......bora kukaa bila mtoto kuliko kutembea na mama mkwe wako.
 
Last edited by a moderator:
usifanye ivo bhana,muombe MWENYEZI MUNGU atakusaidia
 
hahahahaaaaa pole kijana wa miaka 40 mbona wewe ni mzee lakini wajiita kijana? mama mkwe wako mchawi tena hata haogopi kuonyesha uchawi wake wazi.
 
Hongera Mkuu saudari kwa kumuibua huyu na mabandiko yake ya ajabu ajabu.

Huyu ni mmoja kati ya watu wachache ambao wanafanya jukwaa la MMU kama sehemu ya utani(kutunga umbea wao).

Hii ya leo anasema "ana muda wa miaka 7 katika ndoa yake" wakati mwaka jana alisema "ana muda wa miaka miwili katika ndoa yake". Hivyo huyu ni mmoja kati ya watu wanaocheza na akili za watu.

Hii hapa chini aliituma tarehe 23 october 2012, huku akidai amekaa kwenye ndoa kwa muda wa miaka 2.

Kwa maelezo zaidi pitia link hii am-not-happy-with-the-friends-of-my-wife-pse-help.
 
Last edited by a moderator:
mama mkwe ni mzee sana,...kama muone kano wake uko poa...KULA MZIGO....
 
khaaa...hamna cha dawa wala kidawa hapo! mama mkwe kataka na yeye agegedwe! inaonekana siku nyingi alimtamani mume wa bintiye! hao ndio mama wakwe wa kidijitali!
 
Back
Top Bottom