saudari
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 2,655
- 2,783
Huyu kijana wa 40yrs inabidi wakae mbali kabisaa
na huyu mama mkwe!
Huyu MAJUMBA anacheza na akili za watu.
Hebu angalia hii je mke wangu ananibaka.
Last edited by a moderator:
Huyu kijana wa 40yrs inabidi wakae mbali kabisaa
na huyu mama mkwe!
We Kongosho sijui kongoro hivi, mbona una matusi ya reja reja na jumla pamoja namna hii? Haya, umeolewa mwanawake mwenzako katika sura ya mwanamme, lakini si unabeba mimba? si unaendesha magari? si unakula?na hivyo vyote kwa kuhangaika kwake? AU SHEMEJI YETU KAKUOA WEWE MWANAUME MWENZIE MWENYE SURA YA KIKE?
CC: Shehe Yahaya huko huko aliko
Huyu MAJUMBA anacheza na akili za watu. Hebu angalia hii je mke wangu ananibaka.Huyu kijana wa 40yrs inabidi wakae mbali kabisaa na huyu mama mkwe!
sa ulitaka asiombe ushauri ila aseme tu ndiyo mama mkwe naja keshohivi kweli nikute mme wangu anaomba ushauri kisa kaombwa unyumba na mama mkwe? Afu niseme nina mme??
He he he, hapo blue kuna ka ukweli
This guy is a jokerHuyu MAJUMBA anacheza na akili za watu.
Hebu angalia hii je mke wangu ananibaka.
sa ulitaka asiombe ushauri ila aseme tu ndiyo mama mkwe naja kesho
kama LUDOVICK na LWAKATARE ETI EEEH?Rudi kwake ukiwa na recoder jifanye hujaelewa kama kweli alikuwa siriazi, mrekodi huku ukimuuliza maswali ya kumfanya ajieleze ni uhusiano gani uliopo kati ya nyie kutopata mtoto na kufanya naye mapenzi... THEN UNAMLIPUA KWA FAMILIA YAKE... Muhusishe mkeo baada ya kupata ushahidi
Huyu MAJUMBA anacheza na akili za watu. Hebu angalia hii je mke wangu ananibaka.
No wonder
Kijana at 40??? Sometimes wanawake tunaolewa na wanawake wenzetu katika sura ya mwanamme
Mpaka umekuja kuomba ushauri huku, ni kwamba hata wewe inaonekana Ushauri wa Mama Mkwe bado unaweza kuufanyia kazi kama utapata watu ambao watakuunga mkono. Si ajabu ulishaichafua, sasa umekuja humu kutafuta uhalali tu. Mama mkwe wa siku hizi si kama wa zamani tena wengine ni warembo kuliko watoto zao. Gonga mzee, usiulize ulize. Si kaileta mwenyewe? Kula!!