Am not happy with the friends of my wife! Pse help | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Am not happy with the friends of my wife! Pse help

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mujumba, Oct 23, 2012.

 1. Mujumba

  Mujumba JF-Expert Member

  #1
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 854
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  AM NOT HAPPY WITH THE FRIENDS OF MY WIFE

  Hi Guys . Been married for 2 years now. Love my wife so much. But something disturbs me. All of her close friends are not married and they are her biggest advisers. Am very Uncomfortable about this and i have requested her to drop off these friends and look for married friends who can give her good advice on marriage and relationships. But she has become wild and the other day, she invited her friends over and they all told me off. The friends told me that i met her when she was already friends with them and i should respect that. Should i be worried??
   
 2. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #2
  Oct 23, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Tough one!

  Ila kabla ya kuwa unconfortable na hao friends wake, kulikuwa na mabadiliko negative? Au the fact that they are not married tu ndio wana disqualify kuwa na mkeo?
   
 3. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #3
  Oct 23, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Did you marry her so that you can change her? If she told you she doesnt approve of your friends, will you be ready to drop them for her? I hate pple who walks into my life and starts dictating what is good for me and what is not! You should be worried about your own self.
  If you were spending all your time with her may be she would be able.to reduce contacts with them.
   
 4. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #4
  Oct 23, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mh ma living single wanatabu mbona kuwatenga hivyo mkuu!
  Nao wanamawaidha bomba kuliko hata hao walioolewa.
  leave your wife`s friends to herself, yeye kakuambia uachane na mafriend wako wale wakware?
   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  Oct 23, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  he he he, pole.

  Kama ni mange style, unastahili kuwa worried, ila kama zinamtosha unaogopa nini?
   
 6. Chum Chang

  Chum Chang JF-Expert Member

  #6
  Oct 23, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,001
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ushauri utakaopata hapa mwingi utakuwa wa lugha ya Kiswahili hii kutokana na wana JF wengi wanaipenda ni wazalendo na wapenda kuienzi lugha yao japo kuna wengine wako kama wewe japo sina uwakika wa %99.9 eti uji kiswahili

  Ushauri=kama unaona kuna vitu vimebarika muonye...
  La kama ni unaona kuna kiwingu cha hao marafiki zake na una mda na mkeo sina budi kukwambia fikilia vzr kama ujafanya uwamuzi mzito,wahenga wanasema Maji ukiyavulia nguo sharti........?
   
 7. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #7
  Oct 23, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Men are like that mie nilikuwa best friend wangu enzi tuko chuo 2likuwa close kweli nimemsaidia sana kwenye masomo na mpenziwe alilijua hilo ,ameolewa last year after ndoa yule mumewe akawa hanifurahii tena nilinote hilo then nikajiweka mbali nao kimya*2 ,shosti akiniuliza kulikon namdanganya majukumu,til today urafiki wetu umepooza kabisa and hafahamu lolote,bt niliona niepushe shari kwenye ndoa ya watu,bt kiukwel iam missing my best friend.
   
 8. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #8
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,182
  Trophy Points: 280
  You can cover the entire earth with a carpet so your feet do not touch the ground, or you can simply choose to put on shoes and get the same result.

  Why do you assume married friends are automatically better than unmarried friends?

  What if she find married friends who are taking counsel from their unmarried friends?
   
 9. u

  ubarinolutu JF-Expert Member

  #9
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 22, 2012
  Messages: 704
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 80
  The only way to get rid of them is to sleep with all her friends you dont like. Najua c ushauri mzuri sana , ila hao vibopa wataanza kumtafutia vidumu mke wako. Pia uckute mke wako anaanika siri zako kwa hao mashost zake.
   
 10. P

  Penguine JF-Expert Member

  #10
  Oct 23, 2012
  Joined: Nov 29, 2009
  Messages: 1,226
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 180
  Its sincererly her to be worried for no sooner than they will stab her on the back.
   
 11. N

  Neylu JF-Expert Member

  #11
  Oct 23, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 2,650
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Duh...!Kumbe ambao hatujaolewa hatupaswi kuwa na marafiki walioolewa!! Ngoja nami nijiepushe nao..!
   
 12. Bwana Mapesa

  Bwana Mapesa JF-Expert Member

  #12
  Oct 23, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,924
  Likes Received: 660
  Trophy Points: 280
  Ban her from meeting them..and tell her to choose between u and them...that's it!

  Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
   
 13. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #13
  Oct 23, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Making someone to choose between unlike things is childish!
   
 14. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #14
  Oct 23, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,224
  Trophy Points: 280
  hao marafiki si ulimkuta nao?

  Alokwambia ndoa inashauriwa na marafiki ni nani?
  Ya ndoani yanawahusu wanandoa pekee si marafiki.....

  Halafu ndoa haimaanishi kuwa mpangiane marafiki, akikwambia waache marafiki zako utakubali?
  Mwisho utamwambia aache kuwasiliana na ndugu zake ambao hawajaolewa....

  Si tabia njema.....

  Urafiki haupimwi kwa kuolewa wala kuoa.....
   
 15. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #15
  Oct 23, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,224
  Trophy Points: 280
  upuuzi tu....
  Hao walioolewa wanakanyaga waume wa mashosti zao kama hawana akili nzuri.....

  Huyo aliyeolewa anaweza kumjaza mkewe ujinga lori zima....

  Urafiki haupimwi kwa ndoa, kuna mengi sana
   
 16. u

  ubarinolutu JF-Expert Member

  #16
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 22, 2012
  Messages: 704
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 80
  wewe bata acha habari za kike
   
 17. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #17
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Simple, Befriend Some of them to solve the riddle na ikiwezekana "wasijuane" nani una urafiki nae zaidi!
   
 18. Blaine

  Blaine JF-Expert Member

  #18
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 2,285
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  how cute!! you sound like mama anayempa mwanae ultimatum "choose me or your wife"
   
 19. Dancani

  Dancani JF-Expert Member

  #19
  Oct 23, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 800
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Angelijua hilo asingewaruhusu wawe wasemaji wake nanukuu<The friends told me that i met her when she was already friends with them and i should respect that. Should i be worried?? Tatizo la siku hizi tunapenda ndoa lakini kwa asilimia kubwa tunataka kuisha kama vile vile kabla ya ndoa.
   
 20. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #20
  Oct 23, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Kama kweli unampa mke au mume wako muda wa kutosha, dat is closeness hatapata muda wa kukumbuka hata hao mashoga zake!! Something loose somewhere in your relationship!! Keep her busy!!! Au naye ni mama wa nyumbani? Kama ndivyo na hujamfungulia hata kabiashara basi hesabu yake ni sifuri!! Siku si nyingi hutakuwa na mke!!! Atakuwa mke wa wanaume wengi!!!! Jiandae!1
   
Loading...