Nilihisi hayo yatamkuta huyo jamaa yenu. Maana parachichi, mayai ya kuchemsha, mahindi ya kuchemsha na nyama ya mdudu duuu!!
Poleni sana waathirika.
Nalog off
Mambo mengine madogomadogo unataka na sisi tuyajue
unajua maana ya punk wewe?
punk maana yake ni uozo!
uchafu, takataka...!
mtu asiye na maana, wa ovyo ovyo!
sasa jitambue mara moja mr PUNKY!
by the way, id yako mapanki ya mwanza enzi kidogo!
hahahaaaa!!! jamani mwanajeshi wanguuu!!
jamani nime-smile asubuhi asubuhi unajua! thanks for beibg the part of my happiness!
kama kweli unataka kuiona four season safari lodge, jiandae!
kwa mtz, room ni tshs kama 150k hivi per night, ila kama ni trip tu ya kawaida, haina cost kubwa (bila kulala hiyo!)
btw.. umesema hutaki kwenda na mimi eenh? why?!! teh!
Mwanajeshi wa sirikali sio wa kwako bwana, weeh vipi?
Yaani unipeleke kulala vichochoroni? Mie nataka kulala singita sasakwa lodge, iko grumeti bwana, eboo! Kihoteli cha laki unusu kina hata maji ya kuoga?
Ofcoz staki kwenda na wewe usije ukaniangusha majaribuni. Kuna tour guides kule, wewe kata tikiti to mwanza, lipia kikunguru from mwanza to pori na lipia reservations za hoteli na meals, wala sio hela nyingi. Niwache niende alone, weeh baki jeiefu uandike mistari
Acha uchokozi! Ukidundwa usiniite!
Afu ulisema utanipeleka serengeti nikale maisha? Nataka niende wakati wa the great migration na staki kwenda na wewe.
what? no way!!
payments nifanye mimi halafu upelekwe na wale mbwa mwitu!! NO WAY!
i know those guys a lot! they dont waste time!
by the way... usiogope bana! siku moja sio mbaya!!
halafu sio mbali.. tunaingia kwa helikopter ya jeshi, then tunarudi kwa VX maalum!!
unaogopa nini mtoto mzuri jamani!
Na sasa ndio wakati hasa wa great migration!
Na sasa ndio wakati hasa wa great migration!