Yaliyotusibu Serengeti

Yaliyotusibu Serengeti

NGULI

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2008
Posts
4,801
Reaction score
652
Heri ya mwaka mpya JF,

Tuliamua kufanya utalii wa ndani kwa kutembelea mbuga ya wanyama ya serengeti, tuliamua kupiga road trip kuanzia dar tukapiga kambi Arusha na siku iliyofwata tukaenda serengeti,

Safari ilianza mapema asubuhi mwenzetu mmoja ambaye pia ni member wa JF alikuwa hajafika maeneo ya kanda ya kaskazini siku nyingi tulivyofika mto wa mbu alinunua parachichi na chumvi akala alifurahi sana akaona mtu anapitisha yai la kuchemsha la kienyeji makubwa akanunua 2 akapiga na soda ya pepsi. Basi tukaonodka tulivyofika karatu tulikuta akina mama wanachemsha mahindi pamoja na majani yake wanaweka magadi na chumvi yanakuwa malaaini na matamu akanunua muindi mmoja akapiga (ila jamaa wa jiarani alionya kuwa hao akina mama wanachemsha yasipoisha wanaendelea hata kwa wiki mpaka yanunuliwe yaishe)

Tulivyofika katikati huko tukapata nyama za kuchoma na yeye alikula mdudu ila wa porini wa kuchoma na supu kidogo.

Tukafika serengeti jioni kabisa tukapatiwa ma tent kwa ajili ya woga tukalala 3 kwa kila tent kubwa moja. Kufika saa 4 usiku tulisikia simba wana nguruma kwa nguvu karibia kabisa na tent letu mara vuuu jamaa aliyekuwa anakula sana njiani mara mahindi mara mayai mara maparachichi akaanza kutokwa na jasho kali sana tulihisi homa tukaogopa sana yeye asema sio homa tumbo linachemka na anahisi kuhara....tuliogopa sana tuliita wale walnzi lakini walikuwa mbali na walionya usiku tusitoke nje hata iwe nini......

Jamaa akavumilia tena kwa nusu saa akawa mwekundu iliyochanganyikana na blue kwa pressure ya mzigo tumboni mara yakamshinda kulikuwa na kisado kilichokuwa na mchanga kwenye kona cha kuzima moto basi akamwaga mchanga akakaa akatusababishia madhara ya kuungua pua zetu na aliendelea kwa lisaa lizima na hilo zoezi la kuhara na lairudi a kama mara 4 usiku mzima. Kesho yake wote tulinuka choo na holiday iliharibikia hapo. Asubuhi tulimpatia dawa za kuzuia kuhara na mpaka sasa sehemu zetu za ubongo za ku detect harufu zimeathirika....
 
Ha ha ha ha ha ha ...........Dah nimecheka nusura mbavu zivunjike! Ina maana jamaa alikuwa hajawahi kuona hiyo misosi, kazi kwelikweli
 
Yaani mtu anakula kama nguruwe nyie mnamuangalia tu,safi sana mlivyoathirika.
 
Heri ya mwaka mpya JF,

Tuliamua kufanya utalii wa ndani kwa kutembelea mbuga ya wanyama ya serengeti, tuliamua kupiga road trip kuanzia dar tukapiga kambi Arusha na siku iliyofwata tukaenda serengeti,

Safari ilianza mapema asubuhi mwenzetu mmoja ambaye pia ni member wa JF alikuwa hajafika maeneo ya kanda ya kaskazini siku nyingi tulivyofika mto wa mbu alinunua parachichi na chumvi akala alifurahi sana akaona mtu anapitisha yai la kuchemsha la kienyeji makubwa akanunua 2 akapiga na soda ya pepsi. Basi tukaonodka tulivyofika karatu tulikuta akina mama wanachemsha mahindi pamoja na majani yake wanaweka magadi na chumvi yanakuwa malaaini na matamu akanunua muindi mmoja akapiga (ila jamaa wa jiarani alionya kuwa hao akina mama wanachemsha yasipoisha wanaendelea hata kwa wiki mpaka yanunuliwe yaishe)

Tulivyofika katikati huko tukapata nyama za kuchoma na yeye alikula mdudu ila wa porini wa kuchoma na supu kidogo.

Tukafika serengeti jioni kabisa tukapatiwa ma tent kwa ajili ya woga tukalala 3 kwa kila tent kubwa moja. Kufika saa 4 usiku tulisikia simba wana nguruma kwa nguvu karibia kabisa na tent letu mara vuuu jamaa aliyekuwa anakula sana njiani mara mahindi mara mayai mara maparachichi akaanza kutokwa na jasho kali sana tulihisi homa tukaogopa sana yeye asema sio homa tumbo linachemka na anahisi kuhara....tuliogopa sana tuliita wale walnzi lakini walikuwa mbali na walionya usiku tusitoke nje hata iwe nini......

Jamaa akavumilia tena kwa nusu saa akawa mwekundu iliyochanganyikana na blue kwa pressure ya mzigo tumboni mara yakamshinda kulikuwa na kisado kilichokuwa na mchanga kwenye kona cha kuzima moto basi akamwaga mchanga akakaa akatusababishia madhara ya kuungua pua zetu na aliendelea kwa lisaa lizima na hilo zoezi la kuhara na lairudi a kama mara 4 usiku mzima. Kesho yake wote tulinuka choo na holiday iliharibikia hapo. Asubuhi tulimpatia dawa za kuzuia kuhara na mpaka sasa sehemu zetu za ubongo za ku detect harufu zimeathirika....
you cant be serious dude .. umetisha sana...
 
Nilihisi hayo yatamkuta huyo jamaa yenu. Maana parachichi, mayai ya kuchemsha, mahindi ya kuchemsha na nyama ya mdudu duuu!!
 
Hahahahahahhaahaa that's funny
 
Hujasema yote kaka alichambia nini au -----?
 
Ha ha haaa, NGULI umenifanya nicheke sanaa.....dawa ya kusafisha tumbo sio lazima kupata kwa wamasai tuu au duluclox, hiyo home remedy daaah😛ray: pole kwa jamaa
 
Last edited by a moderator:
Nimecheka sana aisee! By the way hii stori ya kufurahisha jukwaa tu haina ukweli. Umesema baada ya kutoka Karatu alikua nyama ya "mdudu" pori, inamaana alikula Ngorongoro?? maana baada ya Karatu ni Ngorongoro kama unaelekea Serengeti
 
Wewe umeelewa mdudu pori ni nini? hakuna maeneo wamasai wanachoma nyama njiani? au mpaka tu attach picha? kwa hio unaona hii adhabu imetufurahisha next time tukisafiri ttakulaza na yule jamaa.
 
Hahahahahahahaaa haahaaaa🙂 Thanks for making my day!!!! JF Hoyeee!
 
Back
Top Bottom