Yaliyotusibu Serengeti

Yaliyotusibu Serengeti

Ha ha ha! Wapi hapo wamasai wanachoma nguruwe, tena nguruwe pori! Haya bwana pole kwa yaliyowasibu
 
Hadithi yako Ni nzuri ILA ukishatoka karatu hamna sehemu nyingine ya Kula Ni mpaka ufike ndani ya hifadhi sehemu inayoitwa kimba na kamwe Hanna nyama pori wala kitimoto.Baada ya hapo sehemu zote Ni hifadhi ya taifa.
 
Poleni sana na uvumilivu wa harufu ya muharo!
 
JF ni kila kitu, hata kama una hasira gani utacheka tu!
 
leo umenifuraiasha sana kwi kwii kwiii TEAM zito
 
Last edited by a moderator:
Hao wapenda kula Hovyo hovyo huwa kero hata kwa Mabasi ya Abiria kwani Hali ikiwa mbaya husimamisha basi na Kujisaidia hadhalani chini ya Basi na kusambaza kinyesi na Maradhi kwa wapita njia Ni vyema wamiliki wa Mabasi kuwawekea Tangazo la kuwakataza kula Hovyo hovyo njiani .
 
Hatupaswi kula kila kilicho mbele yetu kwani kutokula njiani si kosa la jinai hivyo ni bora mtu ule vyakula vinavyotakiwa kwa mda mwafaka tu.
 
Hahaaaa NGULI ww ni noma
 
Last edited by a moderator:
ahahahahahhh, nimecheka sana aisee! Jf ni kila kitu lol!
Heri ya mwaka mpya JF,

Tuliamua kufanya utalii wa ndani kwa kutembelea mbuga ya wanyama ya
serengeti, tuliamua kupiga road trip kuanzia dar tukapiga kambi Arusha
na siku iliyofwata tukaenda serengeti,

Safari ilianza mapema asubuhi mwenzetu mmoja ambaye pia ni member wa JF
alikuwa hajafika maeneo ya kanda ya kaskazini siku nyingi tulivyofika
mto wa mbu alinunua parachichi na chumvi akala alifurahi sana akaona mtu
anapitisha yai la kuchemsha la kienyeji makubwa akanunua 2 akapiga na
soda ya pepsi. Basi tukaonodka tulivyofika karatu tulikuta akina mama
wanachemsha mahindi pamoja na majani yake wanaweka magadi na chumvi
yanakuwa malaaini na matamu akanunua muindi mmoja akapiga (ila jamaa wa
jiarani alionya kuwa hao akina mama wanachemsha yasipoisha wanaendelea
hata kwa wiki mpaka yanunuliwe yaishe)

Tulivyofika katikati huko tukapata nyama za kuchoma na yeye alikula
mdudu ila wa porini wa kuchoma na supu kidogo.

Tukafika serengeti jioni kabisa tukapatiwa ma tent kwa ajili ya woga
tukalala 3 kwa kila tent kubwa moja. Kufika saa 4 usiku tulisikia simba
wana nguruma kwa nguvu karibia kabisa na tent letu mara vuuu jamaa
aliyekuwa anakula sana njiani mara mahindi mara mayai mara maparachichi
akaanza kutokwa na jasho kali sana tulihisi homa tukaogopa sana yeye
asema sio homa tumbo linachemka na anahisi kuhara....tuliogopa sana
tuliita wale walnzi lakini walikuwa mbali na walionya usiku tusitoke nje
hata iwe nini......

Jamaa akavumilia tena kwa nusu saa akawa mwekundu iliyochanganyikana na
blue kwa pressure ya mzigo tumboni mara yakamshinda kulikuwa na kisado
kilichokuwa na mchanga kwenye kona cha kuzima moto basi akamwaga mchanga
akakaa akatusababishia madhara ya kuungua pua zetu na aliendelea kwa
lisaa lizima na hilo zoezi la kuhara na lairudi a kama mara 4 usiku
mzima. Kesho yake wote tulinuka choo na holiday iliharibikia hapo.
Asubuhi tulimpatia dawa za kuzuia kuhara na mpaka sasa sehemu zetu za
ubongo za ku detect harufu zimeathirika....
 
tatizo lenu na nyie mmezidi huruma mkuu...mngemtoa nje usiku huo huo akajisaidie
 
Na muharo wa parachichi na yai ni wa kelele trii trii triiiiiiiiiiii
 
Heri ya mwaka mpya JF,

Tuliamua kufanya utalii wa ndani kwa kutembelea mbuga ya wanyama ya serengeti, tuliamua kupiga road trip kuanzia dar tukapiga kambi Arusha na siku iliyofwata tukaenda serengeti,

Safari ilianza mapema asubuhi mwenzetu mmoja ambaye pia ni member wa JF alikuwa hajafika maeneo ya kanda ya kaskazini siku nyingi tulivyofika mto wa mbu alinunua parachichi na chumvi akala alifurahi sana akaona mtu anapitisha yai la kuchemsha la kienyeji makubwa akanunua 2 akapiga na soda ya pepsi. Basi tukaonodka tulivyofika karatu tulikuta akina mama wanachemsha mahindi pamoja na majani yake wanaweka magadi na chumvi yanakuwa malaaini na matamu akanunua muindi mmoja akapiga (ila jamaa wa jiarani alionya kuwa hao akina mama wanachemsha yasipoisha wanaendelea hata kwa wiki mpaka yanunuliwe yaishe)

Tulivyofika katikati huko tukapata nyama za kuchoma na yeye alikula mdudu ila wa porini wa kuchoma na supu kidogo.

Tukafika serengeti jioni kabisa tukapatiwa ma tent kwa ajili ya woga tukalala 3 kwa kila tent kubwa moja. Kufika saa 4 usiku tulisikia simba wana nguruma kwa nguvu karibia kabisa na tent letu mara vuuu jamaa aliyekuwa anakula sana njiani mara mahindi mara mayai mara maparachichi akaanza kutokwa na jasho kali sana tulihisi homa tukaogopa sana yeye asema sio homa tumbo linachemka na anahisi kuhara....tuliogopa sana tuliita wale walnzi lakini walikuwa mbali na walionya usiku tusitoke nje hata iwe nini......

Jamaa akavumilia tena kwa nusu saa akawa mwekundu iliyochanganyikana na blue kwa pressure ya mzigo tumboni mara yakamshinda kulikuwa na kisado kilichokuwa na mchanga kwenye kona cha kuzima moto basi akamwaga mchanga akakaa akatusababishia madhara ya kuungua pua zetu na aliendelea kwa lisaa lizima na hilo zoezi la kuhara na lairudi a kama mara 4 usiku mzima. Kesho yake wote tulinuka choo na holiday iliharibikia hapo. Asubuhi tulimpatia dawa za kuzuia kuhara na mpaka sasa sehemu zetu za ubongo za ku detect harufu zimeathirika....

Poleni NGULI msameheni bure vile vitu vya hamu vinatamanisha na mjini havipo...
halafu ile shughuli haina brake..hata kuwe baridi utaona mtu ana vitone vya jasho kwenye paji la uso
cha kushukuru mmerudi salama..angeogopa akjatoka nje na kuacha mlango wazi si ajabu wote msingerudi salama
 
Last edited by a moderator:
Ni Kwa vile unasoma hapa jukwaani ukikutana na hio adhma si mchezo. Kisado kina amplify sana tu bora kingekuwa na mfuniko tungefunika
Mkuu hakuna binadamu YEYOTE aliye mzima wa Afya hapa Duniani ambaye hajawai kupata Kadhia hiyo..narudia tena HAMNA including mimi pia
 
Back
Top Bottom