Yaliyonikuta weekend hii-makalio feki- very serious

Yaliyonikuta weekend hii-makalio feki- very serious

unauza meusi ama ya rangi hii hii?

attachment.php

Kila rangi ,unataka kuyaona na meusi ?utacheka uanguke hahaha
 
Nataka kachori na pweza afu na ile supu yake....kishushio juice ya ukwaju...

usijali, pweza tu, hapa umefika! ngoja nitafute mtu wa kuniandalia huyu kitafunwa!

baada ya kumla huyu sasa tutaongea lugha ya kipekee!
 
usijali, pweza tu, hapa umefika! ngoja nitafute mtu wa kuniandalia huyu kitafunwa!baada ya kumla huyu sasa tutaongea lugha ya kipekee!
Inabidi nije na mkalimani mana hiyo lugha ya kipekee tunaweza tusielewane...
 
Attachments

  • 1395576567223.jpg
    1395576567223.jpg
    17.7 KB · Views: 1,182
  • 1395576584563.jpg
    1395576584563.jpg
    8.8 KB · Views: 261
  • 1395576597958.jpg
    1395576597958.jpg
    33.1 KB · Views: 272
Na huwezi amini yananunuliwa balaa kwa wiki naweza uza pcs 50 kwa bei ya ukweli

Wateja wakuu ni kada gani ya wanawake? Wanafunzi wa vyuo? Wanaweka waliokwishazaa? Mabinti wa uswahilini? Learned class? Majority 28yrs and above? Au hata wanafunzi wa sekondari? Si ajabu hata wa primari, chezea bongo?!
 
Umewasahau na ma gays
 
Inabidi nije na mkalimani mana hiyo lugha ya kipekee tunaweza tusielewane...

dont worry..

mkalimani wa nini wakati mi mwenyewe ni mult-function! after-all, hio lugha inaongelewa wakati maalum kabisa!

where only there is a smooth fight, fight without blood shedd, fight of happiness and fight of enjoyment!

you are happily welcomed ..!
 
Back
Top Bottom