Yaliyonikuta weekend hii-makalio feki- very serious

Yaliyonikuta weekend hii-makalio feki- very serious

hahahaha asante my dear ila hakuna kisicho na kilevi? sinywi pombe sasa....juis juisi hivi.......miss u too!!!!
karibu!---! miss you!
IMG_1806+crop.jpg
 
hahahaha asante my dear ila hakuna kisicho na kilevi? sinywi pombe sasa....juis juisi hivi.......miss u too!!!!
juice juice tu mamii? ----- so nikiandaa kabajeti ka buku 20 kwa ajili ya vinywaji, kanatosha kabisa?
 
Siwezi kukutajia profession yangu...
Pole kwa kipigo.. baki njia kuu kwa mwanasheria,
njoo kwa pm bac uninong'oneze!

si unajua tena nishakuwa kama public figure hivi! nikisema tu chochote, nadakwa!
 
njoo kwa pm bac uninong'oneze!

si unajua tena nishakuwa kama public figure hivi! nikisema tu chochote, nadakwa!

Utafiti wako kuhusu professions zetu bado unaendelea? nitakutafuta kwa PM nikunong'oneze
hongera kwa kuwa celebrity
 
Back
Top Bottom