excel
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 22,450
- 17,921
hahahaaaa!!! mkuu tyta kataitiwa leo!
(mkuu please ukiwa ONLINE, naomba tutafutane kwa PM.... i have an issue to discuss with you...)
hahahaaaa!!! mkuu tyta kataitiwa leo!
- Nguo zawaenea vyema kabisa
- kuna cha ziada katika vichwa vyao, ambacho hupelekea kufanya hivyo
Makalio /hips feki
Kope feki
Nyusi feki
Nywele feki
Matiti feki
Kucha feki
Rangi ya mwili feki
Mbona kazi ipo....
Everything is fake! Mapenzi feki mpaka hisia wakati wa ku-do zinafekiwa!
Mmi nna flat screen wala sina preshaaa wala sihangaiki nisharizikaaa
Ni style yao ya maisha tu. Wanaokoteza. Unakutana na mtu leo leo mnaongozana sehemu ya 'kurarana'
kama wewe ni old enough, basi tufumbue macho.
Hahaa kwasababu hatuna mvuto ama....dahits all about marketing strategies..who will look at kimbaumbau bu-tto-cks?
Wengine wanameza au kupaka angalia yaliyomkuta huyu.View attachment 146555
Mkuu mm ni kijana tu kama wewe ila sijachagua kuishi maisha hayo.
||"You were too young to understand"||
Hahaa kwasababu hatuna mvuto ama....dah