Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,430
- 108,589
Nitowe niipeleke wapi? Umeshapanda Tahmed za Dar, Moshi, Arusha, Nairobi wewe?Tahmeed toa hqpo shabiby huduma bado
Nitowe niipeleke wapi? Umeshapanda Tahmed za Dar, Moshi, Arusha, Nairobi wewe?Tahmeed toa hqpo shabiby huduma bado
Tahmeed kwa sasa hana gari yenye TV kila siti, ziliuzwaUmewahi kupanda Shabiby, Kimbinyiko na Tahmed ya Nairobi?
Hizo ni luxury bus, seat arrangement ni two by one kila seat na TV yake.
Boss unamaanisha Gemilang?Siyo kweli, unaandika kitu usichokijuwa au unafurahisha genge tu.
Scania wenyewe wana plant China na Brazil, Scania dumelang unajuwa inatoka wapi?
OK, Kwahiyo maana yake hawakai na gari chakavu, inawezekana wanataka kuingia latest luxury coach kama kampuni bado IPO kwenye ubora wake.Tahmeed kwa sasa hana gari yenye TV kila siti, ziliuzwa
Nilitaka pia maoni kuhusu hili Tilisho, maana nililipanda mara moja tu na walikuwa wako vizuriHata Tilisho kidogo yapo vzur
Kidia one wana mabasi mawili tuKaribu KIDIA ONE, njoo uone tofauti, wako on time, hawana mbambamba njiani
Sana na nikaziacha zile drnNitowe niipeleke wapi? Umeshapanda Tahmed za Dar, Moshi, Arusha, Nairobi wewe?
Hizo unazosemea zilikua DJW series na ziliuzwa muda sana, sasa hv anatumia gari zinazotengenezwa Kenya na Master Fabricators ni 2*1 ndio ila huwezi zifananisha na zile alizouza... Zile zilikua nzuri zaidi.OK, Kwahiyo maana yake hawakai na gari chakavu, inawezekana wanataka kuingia latest luxury coach kama kampuni bado IPO kwenye ubora wake.
Wanayo mengi bhanaKidia one wana mabasi mawili tu

KIDIA one nayo hamna kitu kwa Kaskazini sasa hivi bora upande Esther au BMKaribu KIDIA ONE, njoo uone tofauti, wako on time, hawana mbambamba njiani
We Kidia hawa HawaAlooo
We ni unazurura balaa
Marangu mm first day tu nilipata boreko. Nikaconclude ni wabovu siwezi warudia
Kidia one never disappoints
Hiyo kidia nayo ina bus mbovu tu, ww utakua umebahatisha ile yenye choo ndani na ipo moja tuTry kidia![]()
Ww sasa ndo umemaliza kazi..hizo namba za gari ulizoweka ndo gari pekee kwenye hayo makampuni ambazo ni nzuriNi kweli baadhi ya BM siti zake zibana ila sio zote
Ukitaka kuenjoy panda
Kidia One DWL/DTC
Tahmeed
Marangu Coach
Tilisho Safari
Kilimanjaro DMH/DPT/DHY au namba E
Esther Luxury
Extra Luxury
Dar Express DWU
Hata BM labda ukibahatisha DYE, DZQ, EBL, DXN, DVM hapa utaenjoy sana.Ww sasa ndo umemaliza kazi..hizo namba za gari ulizoweka ndo gari pekee kwenye hayo makampuni ambazo ni nzuri