Mwizi wa matairi yule kimaKilimanjaro tangu ilipoanzishwa ikiwa rangi mbaya ya kijani ilipitia kwenye tanuri la moto wa makaa ya mawe ikiwemo bosi kukaa selo kwa kesi huko Temeke.
Basi zake zikifa na Ile hoteli itakufaTiari si ana hotel jamani chips yai 9000
Alikuwa air msae ndio akabadili jinaKilimanjaro tangu ilipoanzishwa ikiwa rangi mbaya ya kijani ilipitia kwenye tanuri la moto wa makaa ya mawe ikiwemo bosi kukaa selo kwa kesi huko Temeke.
Jina la mke wa mtunza kibubu cha taifa ni nani?Pandeni BM au Abood au yale ya mabasi yenye jina la mke wa mtunza kibubu cha taifa
Hiyo BM DXN. Kuna moja nilipanda siti zimebanwa kama daladala za kwenda kange kasera. Walisema ni luxury, hata kiyoyozi hakijawashwa tuna kazi ya kujifuta jasho tu. Humo ndani ni biashara zinaendelea kama kariakoo. Hujakaa vizuri kapita wa biskuti, ukigeuka hivi kapita wa korosho, ukinyoosha mguu kaingia wa machungwa ya kuonja na kununua. Vurugu tu, mnaingia hotelini dakika 10 ni pale dereva anapomaliza kula. Uluxury pekee niliouona kwenye BM siku hiyo ni kutokupakiza wale watu wa dawa za promotion na kusimamisha abiria.Hata BM labda ukibahatisha DYE, DZQ, EBL, DXN, DVM hapa utaenjoy sana.
Unajifanyaga mjuaji, jamaa amekuumbua! Kubali kuchutamaNimesema SEAT za Magari ya Kichina.
Hujui kusoma?
Hii itakuwa kama upo ndani ya Emirates Air bus A1801 by 1 by 1 is coming soon
Silagi chochote kwenye hizo hotel zaidi ya maji labda na juice na biscuit eat some more kuboost sukari nisisikie njaa.Tiari si ana hotel jamani chips yai 9000
Mkuu basi za arusha ni BmHata hili la jana ni luxury la 40,000/- lakini lilikuwa linasimama kila kituo.
Tatizo Abood hizo anazipa route fupi tu ya moro.Wana EAV series kutoka arusha to dar,,ziko masaaa pia
Moro to Arusha kaweka zile DJP ambazo zilikua zinapiga route ya Dar Moro. Sema wana jamaa anaekatisha ticket pale msamvu Mhidini mtu peace sana yuleTatizo Abood hizo anazipa route fupi tu ya moro.
Au atawachukua mpk moro anawatupa ngarangara mnapiga ndefu
Peace kiaje? Ukipungukiwa nauli anakuongezea?Moro to Arusha kaweka zile DJP ambazo zilikua zinapiga route ya Dar Moro. Sema wana jamaa anaekatisha ticket pale msamvu Mhidini mtu peace sana yule
Wanajitahidi, japo wanakatabia ka kuongeza abiria 1 au 2 wa kusimama. Watawaweka pale mbele. Mmoja atakaa kiti cha konda na mwingine pembeni. Makonda wa kike na kiume nao ujibanza maeneo hayo. Wakikalibia check point wanakuja sumbua abiria kubanana na hao nyongeza. Sijui kama tajiri anajua hili.Wakati mwingine jaribu Extra Luxury Coach Mkuu...
Utanishukuru..
Mimi wameshawahi kunipandisha hiyo sehemuWanajitahidi, japo wanakatabia ka kuongeza abiria 1 au 2 wa kusimama. Watawaweka pale mbele. Mmoja atakaa kiti cha konda na mwingine pembeni. Makonda wa kike na kiume nao ujibanza maeneo hayo. Wakikalibia check point wanakuja sumbua abiria kubanana na hao nyongeza. Sijui kama tajiri anajua hili.
Napandaga sana hili bus, kimuundo ni mazuri, wanajitahidi kwenda na muda, ila kasoro yao ndio hiyo



, ilikuwa tarehe 24 December, usafiri mgumu kinoma
Mwambie pia Kuna watu wapo humu toka 2006 na wanajoin Kwa I'd tofautiUna upeo mdogo kwa kukusaidia wako wanojiunga jamiiforum wakiwa watu wazima
Mim mwenyewe nina id kama tata na nyingine nimezisahau na nina mpango wa kufungua mpyaMwambie pia Kuna watu wapo humu toka 2006 na wanajoin Kwa I'd tofauti
Huwa tunapotea njia wakati wa kwenda, sasa wewe ulipoteaje njia hiyohiyo wakati wa kurudi
Kimsingi hakuna luxury bus Tanzania