Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,075
- 111,682
Pole mkuu jaribu extra luxury, BM AU ESTER
Una akili za kipumbavu, mtu kujiunga 2022 inamaana amezaliwa 2021?You joined Dec 2022 unakumbukumbu ya zamani ipi hiyo?
Tunaongelea njia ya Kaskazini..
huko Mwanza mm sipajui


who knows labda kuna siku utataka kwenda Mwanza kutokea Dar.Bm eblNi kweli baadhi ya BM siti zake zibana ila sio zote
Ukitaka kuenjoy panda
Kidia One DWL/DTC
Tahmeed
Marangu Coach
Tilisho Safari
Kilimanjaro DMH/DPT/DHY au namba E
Esther Luxury
Extra Luxury
Dar Express DWU
DZQ pia na DVM, DYE ziko poa na DX seriesBm ebl
Nliwahi panda luxury Yao ya 45k, sikuifurahia sijui kwannTry kidia 🤗
Kwa njia gani?Nliwahi panda luxury Yao ya 45k, sikuifurahia sijui kwann
"au yale ya mabasi yenye jina la mke wa mtunza kibubu cha taifa"Pandeni BM au Abood au yale ya mabasi yenye jina la mke wa mtunza kibubu cha taifa




Chalinze dearKwa njia gani?
Umewahi kupanda Shabiby, Kimbinyiko na Tahmed ya Nairobi?Tanzania hakuna Luxury bus kuna ordinary tu. hata ile kuandika Luxury bus ule ni utapeli.
Wanafanya utapeli na wanaachwa kila siku.
Scandinavia walikua wanajitahidi hawa wengine
wote ni ujanja ujanja tu.
Wanatumia bus za kichina kwanza haziko comfortable ikiwa speed kidogo kama inasukumwa na upepo.
Bus za kichina ni takataka.
Magari ya kichina seat ngumu kama daladala za Eicher.Umewahi kupanda Shabiby, Kimbinyiko na Tahmed ya Nairobi?
Hizo ni luxury bus, seat arrangement ni two by one kila seat na TV yake.
Ukitaka kusafirishwa na BM Coach Kata luxury VIP seat, hutoacha kupanda BM.BM nao hivyo hivyo.....Nilipanda Luxury yao, nilitaabika mno. Nilishindwa nyoosha miguu kwani siti zimebanana mno. Bahati mbaya siti ya mbele yangu ilikuwa haiwezi kuwa adjusted hivyo ikawa inanibana kishenzi!
Siyo kweli, unaandika kitu usichokijuwa au unafurahisha genge tu.Magari ya kichina seat ngumu kama daladala za Eicher.
Tahmeed toa hqpo shabiby huduma badoUmewahi kupanda Shabiby, Kimbinyiko na Tahmed ya Nairobi?
Hizo ni luxury bus, seat arrangement ni two by one kila seat na TV yake.
Esther au ?Pandeni BM au Abood au yale ya mabasi yenye jina la mke wa mtunza kibubu cha taifa