nkanziga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 700
- 1,116
Zenye choo zipo zaidi ya tanoHiyo kidia nayo ina bus mbovu tu, ww utakua umebahatisha ile yenye choo ndani na ipo moja tu
DWL mbili
DTC mbili
DJF pia
Zenye choo zipo zaidi ya tanoHiyo kidia nayo ina bus mbovu tu, ww utakua umebahatisha ile yenye choo ndani na ipo moja tu
We n muongoHiyo kidia nayo ina bus mbovu tu, ww utakua umebahatisha ile yenye choo ndani na ipo moja tu
Kidia za Mwanza ni uchafuHao Sina hamu walinilaza Igunga hao KIDIA hivi hivi
Hata BM labda ukibahatisha DYE, DZQ, EBL, DXN, DVM hapa utaenjoy sana.
Samahani wakuu, hivi Moshe zenu ni kwenye transportation au ni sekta nyingine?Zenye choo zipo zaidi ya tano
DWL mbili
DTC mbili
DJF pia
Sio kweliKidia one wana mabasi mawili tu
Magari sasa hivi kwa route za Dar-Kaskazi, Kaskazini-Dar kuna Kidia One, BM aiseee hutajuta......Kilimanjaro na Dar Express yamebaki majina pekee!!Ningependa kujua maoni ya wengine, ila kwa sasa, naona nitasimama kwanza kupanda mabasi ya Kilimanjaro, safari za kubahatisha ni hatari.
Sector nyingine kabisa (ardhi)Samahani wakuu, hivi Moshe zenu ni kwenye transportation au ni sekta nyingine?
Maana najiuliza mnaweza vipi kukariri hizi registration number za hayo magari tena zaidi ya moja?
The same to Dar Express kuna baadhi ya magari unaambiwa ni laxury lkn ukipanda hazina tofauti na dalalala za MbagalaIla naona siku hizi ana gari mpya No. E...
Anyway...Mimi hizo gari nilishaacha kuzipanda.
Unaambiwa gari Luxury...ukifika ndani Ac hakuna...kiti haki'adjust...Shida tupu..
Daladala za mbagala ni kubwa na nzuri kuliko za Kinondoni, Tabata na Manzese.The same to Dar Express kuna baadhi ya magari unaambiwa ni laxury lkn ukipanda hazina tofauti na dalalala za Mbagala
Kama za ManzeseDaladala za mbagala ni kubwa na nzuri kuliko za Kinondoni, Tabata na Manzese.
Weka namba ya busKwa tunaosafiri sana kuelekea mikoa ya Kaskazini tunatambua nafasi na heshima ya kampuni ya mabasi ya Kilimanjaro Express, iliyojiwekea kwa kipindi kirefu. Tuliamini ilichukua nafasi ya Dar Express, ikawa hawana mpinzani.
Ila hivi karibuni imekuwa tofauti, nimesikia mara nyingi watu wakisema hawapandi tena mabasi ya Kilimanjaro, ni kama sikuelewa hadi yaliyonisibu jana.
Safari ilianza saa moja na nusu asubuhi, Arusha. "Disappointment" ya kwanza ni kwenye gari tulilokuta stendi, tofauti na matarajio yangu. Tuliambiwa gari ni "luxury", kwa nauli ya 40,000/-. Lakini kitu pekee cha ki-luxury ndani ya basi hilo kilikuwa ni choo, hakuna zaidi.
"Seat covers" chakavu, zulia la chini lilikiwa na vumbi lilitimka kila watu walipopita.
Gari halikuwa na kiyoyozi, hii sikutegemea kabisa, hasa kuwa nilishaandaa koti la kuvaa nikiwa ndani.
Safari iliendelea lakini gari hakikuwa na mwendo wa kuridhisha, na kufika eneo la Makuyuni, Korogwe, likazima kabisa. Muhudumu wa ndani ya gari akatangaza kuomba radhi na kuwa abiria wasubiri kidogo. Hapo abiria wakawa wakali wakihoji sababu ya kusubiri. Hapo ndipo nikajua wengi hawakuwa wameridhika na hali ya basi lile.
Tukateremka, watu wakajitafutia hifadhi kwenye vivuli vichache na wengine kwenda madukani kujitafutia chochote kitu. Baadae sana dereva akatafuta basi dogo la abiria kutuchukua hadi hitelini kwao Korogwe.... hapo sasa tulikaa kuanzia saa saba na nusu mchana hadi saa mbili na nusu usiku tulipopata nafasi kwenye basi jingine la kampuni hiyo hiyo.
Tarehe 8 Desemba, nilipanda tena basi Lao la mchana kuelekea Arusha. Tulipofika kipande cha kuanzia Same hadi Njia Panda kulikuwa na mvua kubwa. Sikutegemea, ila basi lilikuwa linavuja na nililazimika kusimama hadi Moshi, bikapata nafasi ya kukaa baada ya abiria kadhaa kushuka. Hapo nilitambua pia kuwa kulikuwa na siti zingine kadhaa zimelowa. Hii ni aibu kwa basi la kampuni ya Kilimanjaro.
Hii inanitafakarisha, kwa nini kampuni za kitanzania zinashindwa kuendelea baada ya kufika kilele cha mafanikio, zinaporomoka. Hadithi ilikuwa kwa Scandinavia, ikaja kwa Dar es Express na sasa Kilimanjaro Bus linaelekea kulekule.
Ni kuwa tunalewa mafanikio au tunashindwa kuwa na fikra za mbali zaidi?
Ningependa kujua maoni ya wengine, ila kwa sasa, naona nitasimama kwanza kupanda mabasi ya Kilimanjaro, safari za kubahatisha ni hatari.
Hawana magari ya kutosha hawa kama sikosei wana bus 4 tu za dar arushaYes, wapo..
Wana route za Kaskazini kupitia Bagamoyo au Chalinze...ni wewe utachagua kitu unapenda...
Huduma zao nzuri... Magari ya kutosha..View attachment 2515864
Nimesema SEAT za Magari ya Kichina.Siyo kweli, unaandika kitu usichokijuwa au unafurahisha genge tu.
Scania wenyewe wana plant China na Brazil, Scania dumelang unajuwa inatoka wapi?
Hata ukiwa unasafiri sana lazima ujue number za mabasi unayosafiria.Samahani wakuu, hivi Moshe zenu ni kwenye transportation au ni sekta nyingine?
Maana najiuliza mnaweza vipi kukariri hizi registration number za hayo magari tena zaidi ya moja?
1 by 1 by 1 is coming soonOK, Kwahiyo maana yake hawakai na gari chakavu, inawezekana wanataka kuingia latest luxury coach kama kampuni bado IPO kwenye ubora wake.
Tiari si ana hotel jamani chips yai 9000Kilimanjaro wameshindwa kumaintain ubora kampuni inaenda kufa sad