Yaliyonikuta Mpoleeee = from Mpoleeee to Golden mpoleeee

Yaliyonikuta Mpoleeee = from Mpoleeee to Golden mpoleeee

sweetlady ana undugu na mpoleeee kasoro sweetlady machachari sana, sio mpole kama mploeeee
Mpoleee ni mpole? katika watu wamekosea jina nadhani yeye ni wakwanza. Ni mcheshi tena anajichanganya sana! ila jina la golden naona litamfaa, nampa golden medal ya entertainment!
Mwali umenionea wapi your deskmate? Afu leo nakutafuta toka asubuhi sikupati...
Sijamuona. Tulikua nae pia asubuhi ila akasema haji class, anaenda kuokota maembe.
 
nakupenda sana toka mpoleee hadi golden mpoleee nakupenda sana tena sana..
 
Una kazi kweli.

ulitaka niwe idle?

Siwezi taka chochote kuhusiana na wewe.

mbona jib ulonipa tofauti na nililoongea. una usingizi?

Umeuliza kama "nilitaka" . . . jibu langu "siwezi kutaka". Kuna ugumu wowote hapo?

mbona sikuelewi? kama huwezi taka nan kukuingiza hapa?

Huwezi kuelewa kwasababu sio muelewa. Alafu nimeingia kwa bundle nilonunua juzi.

kitu gan kinakupa haki ya kuona mm c mwelewa? kwamba ww ndio kiongozi & una cheti cha uelewa?

msamehe lizzy

aje aombe msamaha mwenyewe nitamsamehe.

Kutokuelewa nilichoandika.

niko chini ya hips zako mpolee naomba msamaha kwa bhf ya lizzy!!

Hahahaha mnanchekesha.
Niombe msamaha kwa lipi? Alafu iweje?

Haka ka Lizzy kachokozi sana. Yaani kamekuja humu na kuanza kuanzisha ugomvi na Golden Mpoleeee

ndio wakusamehewa huyu? nidharau nitakudhalilisha! niheshim nitakuheshimu!

naona kazoea vya rangi. hiki kitambaa cheupe hakidiriki kurushiwa madoa!

Hapa nipo "ki FBI" zaidi.
Nafuatilia kwa karibu kabisa hili bifu, teh teh teeeeeeeeeeeeeeeeh
Halafu we Lizzy ni mchaga kweli? maana huna swaga za kike kabisa
 
Mpoleee Ni mcheshi tena anajichanganya sana! ila jina la golden naona litamfaa, nampa golden medal ya entertainment!.

kweli aisee, mpole wa ukweli huyu, hana pozi pozi. tumshauri ajiite golden tu au mcheshi aondoe hilo jina la mpoleee
 
Ningekua sijakuelewa nisingeweza kukuelewesha.


mbona neno kuelewa yategmea? una hakik gan nilikua namaanisha ulivo elewa? nakuuliza una cheti cha uamuzi kua wewe ni mwelewa kuliko wote?
 
Hapa nipo "ki FBI" zaidi.
Nafuatilia kwa karibu kabisa hili bifu, teh teh teeeeeeeeeeeeeeeeh
Halafu we Lizzy ni mchaga kweli? maana huna swaga za kike kabisa


nadhani kitaarabu zaidi hiyo!!
 
Back
Top Bottom