Husninyo
Platinum Member
- Oct 24, 2010
- 24,342
- 10,687
Nini kinaendelea hapa Husninyo?
hakuna zaidi ya kukumisi. aunt yupo wapi?
Nini kinaendelea hapa Husninyo?
teh teh teh! bado waikumbuka hio?
niko chini ya hips zako mpolee naomba msamaha kwa bhf ya lizzy!!
leo unafunguka? lolnimependaje hayo macho kwenye avator.natamani niyaangalie mda wote
Hahahaha mnanchekesha.
Niombe msamaha kwa lipi? Alafu iweje?
Nilikua nae asubuhi katika thread ya ODM. Sasa hivi sijui yuko wapi. Missed you too. Umemuona sweetlady alivo furahi?hakuna zaidi ya kukumisi. aunt yupo wapi?
nitapiga nyingine kwenye kitchen party ya golden mpoleee!!!
Karibu sana GM , kura yangu unayo ila bana chadema hatusemi 'chadema oyeeeeeee' huwa tunasema peoplezzzz poweeeeeer! Pole kwa kupoteza p'word!nawish kama wadada wote wangekua na roho ya hivi. mm ukinipa za uso nakupa za uso. ukija vizuri nakuja vizuri. nitakutegemea sana kwa ushauri niko serious! soon very soon mtakua mnajadili jinis Golden Mpolee alivo nyota katika siasa. Chadema Oyeeeeeeeee!
:yawn: haswaaa, karibu tena
leo unafunguka? lol
mbona GM ndon't mind kabisa! karib
Haka ka Lizzy kachokozi sana. Yaani kamekuja humu na kuanza kuanzisha ugomvi na Golden Mpoleeee
Nilikua nae asubuhi katika thread ya ODM. Sasa hivi sijui yuko wapi. Missed you too. Umemuona sweetlady alivo furahi?
Mwali umenionea wapi your deskmate? Afu leo nakutafuta toka asubuhi sikupati...Nilikua nae asubuhi katika thread ya ODM. Sasa hivi sijui yuko wapi. Missed you too. Umemuona sweetlady alivo furahi?
naona kazoea vya rangi. hiki kitambaa cheupe hakidiriki kurushiwa madoa!
ashe nalee nditoo
ashe tukulu
kuwa na wakati mzuri...
Karibu sana GM , kura yangu unayo ila bana chadema hatusemi 'chadema oyeeeeeee' huwa tunasema peoplezzzz poweeeeeer! Pole kwa kupoteza p'word!
Mh! Utasutwa na wenye lugha yao wewe!ashe nalee nditoo
ashe tukulu
kuwa na wakati mzuri...