Yaliyonikuta Mpoleeee = from Mpoleeee to Golden mpoleeee

Yaliyonikuta Mpoleeee = from Mpoleeee to Golden mpoleeee

Hapa nipo "ki FBI" zaidi.
Nafuatilia kwa karibu kabisa hili bifu, teh teh teeeeeeeeeeeeeeeeh
Halafu we Lizzy ni mchaga kweli? maana huna swaga za kike kabisa
Paulss, Paulss, Paulss... achana na hayo bwana, leo furahi day!
 
Hapa nipo "ki FBI" zaidi.
Nafuatilia kwa karibu kabisa hili bifu, teh teh teeeeeeeeeeeeeeeeh
Halafu we Lizzy ni mchaga kweli? maana huna swaga za kike kabisa
Kwani hii ni sehemu ya kuonyeshana Swagga?
 
mbona neno kuelewa yategmea? una hakik gan nilikua namaanisha ulivo elewa? nakuuliza una cheti cha uamuzi kua wewe ni mwelewa kuliko wote?

Unaona sasa.
Sentensi moja tu unaiulizia maswali lukuki ambayo
haihusiano nayo.

Kwa kujibu maswali yako. .
Cheti. . .NNACHO.
Maamuzi. . . NNAYO.
Je ni mwelewa. . NDIO.
Hayo mengine sioni haja ya kujibu.
 
Back
Top Bottom