Mwali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 7,012
- 5,613
namfikishia sasa hivi via bbmhahahahah, haya. mpe taarifa ya ujio mpya wa golden mpolee
namfikishia sasa hivi via bbmhahahahah, haya. mpe taarifa ya ujio mpya wa golden mpolee
Tafuta kijiti uchore mstari tupigane, husni kazidi uchokozi afu wewe kaa mbali hakuna kuamua!
Hahaha! Kloro ni nyumba ndogo yangu, kakake ashadii ni modereta humu ndani ndie mume wangu au unabisha nimwambie akulime life ban?hehehehe, kwhiyo kloro ni kaka wa ashadii au kaizer kaka yako? lol
Haya ndio madhara ya kuvamia party za watu!
Haya ukinionea michelle mpe salam zangu!
Hivi ndio nini lakini? Wapotea huniagi ukirudi pia hubishi hodi...ndivyo ulivyofundwa na shangazi?..Wewe leo??
:cheer2: :cheer2: :cheer2:husninyo, mwali na sweetlady wamejipanga kufanya kampeni ya nguvu. kura umepata mbunge. lazima ufunike.
Jambo la kufurahisha au lakusikitisha? Umeona hadi Paulss kaonekana huku? Au sababu mpoleee anagombea ubunge? lolnaona huu mwaka chi chat litakuwa jukwaa top kuliko yoote...........lol
Jambo la kufurahisha au lakusikitisha? Umeona hadi Paulss kaonekana huku? Au sababu mpoleee anagombea ubunge? lol
Ujio wa verse mojaNi story ndef lkn naifupisha. Mimi ni mpoleeee original baada ya kuhisi siwezi himili vishindo vya members wanaonibeza nikabadilisha pas-wed yang nikitumia wxyzwxw yaani sikumbuki hata nilizipanga vipi nikiw na nia yakuto rud ten hapa! nikachukua hio pas-wed na kuitplia mbali, in fact nilitafna hicho kipisi! yamenshinda mbooooona hadi nimeshshuka! nalala naota jf na membaza wanipao raha. nakaa nawaza jf, yaaaani ful kukosa raha! nikanona why not nisajil upya nimuombe Cookie mod wa chichat aniunganishe na ile ya zamani! cookie naahidi sirudiii tena! nina habari njema nyingine, nina mpango wa kujiandaa kuwa mbunge kijana mwanamke kuliko wote, shupavu na anaejiweza ila mpole. ushauri plz.
I love you all who love me.
Mie penda wewe sana, moyo wako ni shahidi kabisa, ntawachunia watu wote humu ndani mpaka mamodereta lakini wewe itakuwa ngumu sana.....labda dena manake mimi pia kanichunia...lol.Naona wewe na Dada yangu Dena mmeamua kunichunia mwaka huu.....!!
Sina tabia ya kung'ang'ania ila mi na nyie sambamba, tena kwenye safari ya Mpole kuelekea bungeni siwaachi!
watch this space, hii thread itakuja kuhamishwa jukwaa la siasa, tena hoja nzito pale mpoleee atakapo shinda.ni stressfree place
so its fair naona.....
Naona wewe na Dada yangu Dena mmeamua kunichunia mwaka huu.....!!
Sina tabia ya kung'ang'ania ila mi na nyie sambamba, tena kwenye safari ya Mpole kuelekea bungeni siwaachi!
Good!..nzuri zaidi tupo kwenye kamati ya kampeni, G'Mpoleeee ashindwe mwenyewe kuingia bungeni!:cheer2: :cheer2: :cheer2:
Go girl, go!
We mbona mgomvi hivyo??
Yupi FB au GM?
The Boss nimependa signature yako...ni stressfree place
so its fair naona.....
Nishamshtukia mimi....!
Ooh! Pole mpendwa, na una mpango gani wa kwenda kung'oa?Darling no dear plz dont say that. Mie jino lanitesa ndo maana unaona sijakaa sawa
Mie penda wewe sana, moyo wako ni shahidi kabisa, ntawachunia watu wote humu ndani mpaka mamodereta lakini wewe itakuwa ngumu sana.....labda dena manake mimi pia kanichunia...lol.