dazipozi
JF-Expert Member
- Nov 5, 2011
- 1,137
- 106
Kwikwikwikwi sikushindi,Mxmx!!unamanjonjo.....
Kwikwikwikwi sikushindi,Mxmx!!unamanjonjo.....
OK,HUO WANJA ULOPAKA KWA KOPE UNAUZWA WAP?? ni ijumaa leo na nnamtoko mamii..
mbona sikuelewi? kama huwezi taka nan kukuingiza hapa?
ni nzuri sana Mwali..nikionaga posts zako roho yangu inasuuzika sanaHabari ya leo?
mmh! shem saint nakuogopa!!!! imedondoka na dazpoz kaiokota kampelekea mkewe......avatar yako mbona umeificha?
Binti una vituko na maskhara kweli weye ,....mwambie mod akusaidie kurudisha jina lako la zamani.
mwehee!!! hatukuwezi,,wala hukamatiki!!ni nzuri sana Mwali..nikionaga posts zako roho yangu inasuuzika sana
no nipo kwenye kibajaji! Na mijitu imenikodolea macho saint
mwehee!!! hatukuwezi,,wala hukamatiki!!
Huwezi kuelewa kwasababu sio muelewa. Alafu nimeingia kwa bundle nilonunua juzi.
chit chat ilizorota kiaina... nikawa najiuliza kama uko ifakara...kumbe ulini miss? habari njema hii. nimekukaribisha kwenye kamat yang umeona?
is it? (blushing)ni nzuri sana Mwali..nikionaga posts zako roho yangu inasuuzika sana
ili............ayaa natamani niwe dereva wa io bajaji
mmh! shem saint nakuogopa!!!! imedondoka na dazpoz kaiokota kampelekea mkewe......
msamehe lizzykitu gan kinakupa haki ya kuona mm c mwelewa? kwamba ww ndio kiongozi & una cheti cha uelewa?
Hiyo ni Scandal Eyes ya Rimel London. Kuna mtu alininunulia duty free.OK,HUO WANJA ULOPAKA KWA KOPE UNAUZWA WAP?? ni ijumaa leo na nnamtoko mamii..
nitapiga nyingine kwenye kitchen party ya golden mpoleee!!!ahhahhh....... nikuchagulie nyingine?
is it? (blushing)
ili............
importy duty freee??? so its imported???acha niku PM FASTER!!Hiyo ni Scandal Eyes ya Rimel London. Kuna mtu alininunulia duty free.