Yaliyonikuta Mpoleeee = from Mpoleeee to Golden mpoleeee

Golden Mpoleeee

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2012
Posts
572
Reaction score
206
Ni story ndef lkn naifupisha. Mimi ni mpoleeee original baada ya kuhisi siwezi himili vishindo vya members wanaonibeza nikabadilisha pas-wed yang nikitumia wxyzwxw yaani sikumbuki hata nilizipanga vipi nikiw na nia yakuto rud ten hapa! nikachukua hio pas-wed na kuitplia mbali, in fact nilitafna hicho kipisi! yamenshinda mbooooona hadi nimeshshuka! nalala naota jf na membaza wanipao raha. nakaa nawaza jf, yaaaani ful kukosa raha! nikanona why not nisajil upya nimuombe Cookie mod wa chichat aniunganishe na ile ya zamani! cookie naahidi sirudiii tena! nina habari njema nyingine, nina mpango wa kujiandaa kuwa mbunge kijana mwanamke kuliko wote, shupavu na anaejiweza ila mpole. ushauri plz.

I love you all who love me.
 
Karibu sana mpoleee, mi penda wewe umechangamka sana. Lol.
 
Ujiandae kutembea na mwenyekiti wa chama.
 
Karibu mwaya, tumekumisije!
Hesabu kura yangu tayari... lakini tafuta program bwana, siwezi kukuvote just sababu wewe ni mwanamke kijana kuliko wengine/
Karibu sana!!!
 
mpolee nilifikiri ujio wako mpya utakuwa mkalii. nakukaribisha weekend ya leo ili tuitafute password uliyoipoteza.
 
Back
Top Bottom