Yaliyonikuta Mpoleeee = from Mpoleeee to Golden mpoleeee

images
once a ......... always a ..........hata akivalishwa tai au mawani ya jua, yale yale tu!!


ww kaka yaelekea wanipenda sana ila unashindwa nitokea. usiogope funguka!
 
@ NItonye kokote uliko, leo sherehe.... aliyepotea amepatikana...... yaaani leo raha sana!!
 
Karibu mwaya, tumekumisije!
Hesabu kura yangu tayari... lakini tafuta program bwana, siwezi kukuvote just sababu wewe ni mwanamke kijana kuliko wengine/
Karibu sana!!!

nitakuhtaji kwenye kamati yang na nitakulip vizuri sana! upo tayari mm nipo serious!
 
Back
Top Bottom