Yaliyonikuta Mpoleeee = from Mpoleeee to Golden mpoleeee

Yaliyonikuta Mpoleeee = from Mpoleeee to Golden mpoleeee

mbona uko kind sana kwang? umenigusa.


Ha ha ha ha haaaaaaaaaa.....Anyone who told you to be yourself couldn't have given you any worse advice....Am kind to everyone, until i prove to myself that it’s an excellent time for you to become a missing person....!

Ni wajibu wangu kuwahamasisha wadada kuingia kwenye siasa,manake wengi wanaletwa baada ya kulala na babu zao,wanakuwa mzigo kwa taifa,sasa nikiona anayetaka kuja mwenyewe napata matumaini anaweza kuwa bora.....!
 

Ha ha ha ha haaaaaaaaaa.....Anyone who told you to be yourself couldn't have given you any worse advice....Am kind to everyone, until i prove to myself that it's an excellent time for you to become a missing person....!

Ni wajibu wangu kuwahamasisha wadada kuingia kwenye siasa,manake wengi wanaletwa baada ya kulala na babu zao,wanakuwa mzigo kwa taifa,sasa nikiona anayetaka kuja mwenyewe napata matumaini anaweza kuwa bora.....!


nawish kama wadada wote wangekua na roho ya hivi. mm ukinipa za uso nakupa za uso. ukija vizuri nakuja vizuri. nitakutegemea sana kwa ushauri niko serious! soon very soon mtakua mnajadili jinis Golden Mpolee alivo nyota katika siasa. Chadema Oyeeeeeeeee!
 
Back
Top Bottom