Yaliyonikuta leo stanbic bank kariakoo sokoni

Yaliyonikuta leo stanbic bank kariakoo sokoni

Pole sana mkuu Naona wanataka turudi nyuma enzi izooo.. za kueka hela kwenye vibubu.
 
Mimi Crdb Azikiwe kuna jamaa mmoja alikuwa anachanganya elfu mbili ndani ya milioni ya elfu kumi kumi. Siku moja aliniibia 20,000 kwa kuweka elfu nne. Bahati mbaya nikawa nimeondoka nikagundua nimeshafika ofcn kwangu. Nijatwanga simu utawala nikaelezea jamaa alivyo maana na teller number. Mungu si athmani mwaka haukuisha jamaa akaanza kuchechemea , kitambi kwisha akabaki mbavu. Rest in Peace mwizi
 
Na kwenye akaunti wanaiba. Muwe mnachukua statements za account kila mwezi na kila transaction record. Nbc walishahamisha 8.6m nikashtuka na nikaenda straight kwa head of operations. Ilikuwa nusura mtu akose kazi nikamwombea msanaha. Hela ikarejeshwa. Crdb laki nne ilutolewa nikaona utawala ikarudi. Wewe usicheke na vitela vitakusumbua maana mchezo wanaujua na wanalindana.
 
Hakuna bank wababaishaji kama Stanbic..walitakaga kumfanyia mchezo bi mkubwa kwenye account yake akiwahoji wanajibu dharau alichofanya alirusha makonde kisha akaenda kwa operation manager..mimi ndio nilikua mratibu wa ndundi hizo mbaka walirudisha pesa kwenye account..chezea mwanamke wa kingoni...Bank nyingine kwa UTAPELI NI TWIGA BANCORP

Na mwizi mwingine yuko kwenye bank ya tra longroom, n mwanamke
 
Benki zote Tanzania hazina/hakuna Uaminifu !! 100% nia zao ni ubabaishaji. (( dalili zipo, Repoti zipo, Ushahidi upo, Ukweli na Uhakika upo )).... Wahanga Fungueni macho full time.
 
Samaki huanza kuoza kichwani, tusishangae ya vijana wa teller, je manager wa tawi yeye ako wapi?? Inamaana kuwa hajui vijana wake wanayotendea wateja?? One by one wateja watakimbilia benki zingine na wao kujikuta hawana kazi
Du amakwei mjinga hujimaliza mwenyewe
 
Hakuna bank wababaishaji kama Stanbic..walitakaga kumfanyia mchezo bi mkubwa kwenye account yake akiwahoji wanajibu dharau alichofanya alirusha makonde kisha akaenda kwa operation manager..mimi ndio nilikua mratibu wa ndundi hizo mbaka walirudisha pesa kwenye account..chezea mwanamke wa kingoni...Bank nyingine kwa UTAPELI NI TWIGA BANCORP

Hahahahahaaaj mbavu zangu mie..... Safi saaana. Mdogo wangu juzi kaend kudeposit laki tano cashier akamwingizia elfu hamsini, ile anarudishiwa receipt kuchek kiasi kimeandikwa hamsini, kilichotokea hapo baada ya kutokuwa na maelewano branch manager anajua. Wezi sana hawa macashiers
 
Hakuna bank wababaishaji kama Stanbic..walitakaga kumfanyia mchezo bi mkubwa kwenye account yake akiwahoji wanajibu dharau alichofanya alirusha makonde kisha akaenda kwa operation manager..mimi ndio nilikua mratibu wa ndundi hizo mbaka walirudisha pesa kwenye account..chezea mwanamke wa kingoni...Bank nyingine kwa UTAPELI NI TWIGA BANCORP

...wizi na mchezo mchafu kama huu alioeleza ndugu hapa siyo SERA ya benk yoyote. ila ktk benk zote kuna baadhi ya wafanyakazi wasio waaminifu hivyo sisi wateja twapaswa kua makini sana ili kuwadhibiti.....
 
Hizi benki sasa zinajiharibia zenyewe, wateja wakiwakimbia sijui watamlaumu nani.
 
Elfu kumi tuu wakaiundia kamati! kwani hao matela wa hiyo benki wanalipwa sh ngapi?
 
Nilikwenda PPF TOWER CRDB kudeposit ada ya dogo shule, nikajaza slip vizur tu nimefika kwateller nikampa pesa na slip, kumbe pale kuna utaratibu wa slip za shule akaniambia nikajaze na kunirudishia pesa zangu nafika mezani kuzaja nahesabu pesa naonda 30,000 hakuna, nilikuwa kama mbogo hakanipa nilishanga sana. Na wizi mwingine kwa wazee wetu wastaf wanaochukua mamilion upewa elfu tano nyingi umchanganya na hawahesabu wanapigwa sanaaa
 
Ww inaonekana ni mfanyakazi wa stanbic unauliza nguo alizovaa mteja ili iweje. Mchezo wenu umeshagundulika kawaambie staff wenzako waache.
Ningekua na kitufe cha like ningekugongea bahat mbaya haka ka sim kangu ka mchina hakana ila pokea like mkuu
 
Back
Top Bottom