Yaliyonikuta leo stanbic bank kariakoo sokoni

Yaliyonikuta leo stanbic bank kariakoo sokoni

Stanbic sio bank yenye international standards kwa customer care hata huduma nyingine. Branch zake karibia zote zinamatatizo. Experience yangu mbaya zaidi ni kutoa huduma kwa upendeleo. Staff anatoka kitengo chake kumchukulia pesa jamaa au mtu wake counter asisimame kwenye que. Picha ya rushwa. Tellers hasa wa branch ya Golden Jubilee majanga. Cku moja mdada wa counter ya mwisho kulia jab iambic boss wa kutia sign form anashughulikia kujaza pesa ATM hivyo atachelewa anipe pesa bila receipt kama nna haraka. Nilikataa. Muda uleule akanipatia pesa na receipt. Sijui alitaka nn? Stanbic management okoeni biashara. Do something!!!
 
Daaahh mkuu pole sana!! Hii ndio bongo... labda tuwajaribu barclays!!
 
Eh ntatunzia hela kwenye safe nyumbani na kweny M-Pesa,bank wanazidi kuboa,crdb washaniliza hela zangu nilichoka mwenyewe,..

Kuna mfanyakazi mwenzangu leo karibu alizwe 1M CRDB ,thanks kwa CCTV cameras ndo zimesaidia otherwise,mambo yangekuwa mambo!!

CRDB huwa siwaelewi kabisaaa. Ukitoa hela kwenye ATM, utakuta kuna double transaction. Kisha baada ya muda wanakurudishia transaction moja. Wakati mwingine ukituma/hamisha hela wanakata lakini hazifiki. Ila ukiwakomalia wanakurudishia. Binafsi huwa natunza nakala za miamala yote. Pia huwa nafuatilia "statement yangu" kila mara.
 
Daaahh mkuu pole sana!! Hii ndio bongo... labda tuwajaribu barclays!!

Barclays labda uende ile branch ya slipway na Mikocheni wapo vizuri sana sana sana sana,unajskia nyumbani ila branch nyingine ni uozo mtupu hasa kariakoo na mwenge pale karaiakoo yule dada wa customer relation ni mvivu na ana majibu ya ovyo
 
mmenikumbusha NBC kinondoni kuna dada yupo customer care duu hovyo kabisa
 
Wanajamvi ninavyo jua mimi kama umekwenda kudeposit pesa kwenye bank yoyote na ikagundulika kuna pesa feki basi inatakiwa itobolewe mbele yako na huruusiwe kuondoka nayo
 
Kwa kweli stanbic hamna kitu yaani Ile branch ya kinondoni/kaunda drive ndio main ila huduma zao dohh hamna kitu wako very informal na unprofessional, kupata huduma kama unaomba msaada vile. Kumbe kuna wizi pia ngoja nichukue fedha nifungue hata kcb/ecobank au equity maana hizi regional bank kidogo wanajua wamefuata nn Tanzania biashara sio ubabaisjaji.
 
Barclays labda uende ile branch ya slipway na Mikocheni wapo vizuri sana sana sana sana,unajskia nyumbani ila branch nyingine ni uozo mtupu hasa kariakoo na mwenge pale karaiakoo yule dada wa customer relation ni mvivu na ana majibu ya ovyo

Mkuu huko wateja wengi ni wazungu wenzao na non residents. Kwetu mashenzini huduma ni hobelahobela.
 
Back
Top Bottom