Yaliyomsibu kaka yangu

Huwa najiuliza kama siku ile nilipo kuwa nasubiria majibu yangu ya damu mapigo yangu ya moyo yalikuwa vile je ningeambiwa ninao nahisi hata mwenzi mmoja nisingefika ningekufa kwa mawazo kabla ugonjwa hujaanza kunishambulia.
Mie ya kwanza niliyakimbia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ya pili ndio nikajikaza. Wee alafu ndio nijue mtu anao alafu niendelee kubaki[emoji134]
 
Dalili zipi hizo, hebu mtupe darasa.
 
Khaaa.

B...bila shaka ni ngoma ya mdundiko.

Khaa, sijawhi cheza hizo kule kwetu...labda zimekuja siku hizi.
Usipindishe habari...inakuaje sasa?
Tutaicheza wote au?
 
unyanyapaaa huo sasa kwanini hasingeongea nae waishi kwa upendo na AMANI....wapate watoto kwani dada kuathirika ndio tatzo
 
kwako sitajiuliza wala kuuliza umepataje
maana nitakuwa nimekuambikiza mm
Baby si uliniambia umeacha michepuko[emoji134][emoji134][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
He cane to face the reality jamani
 
Khaa, sijawhi cheza hizo kule kwetu...labda zimekuja siku hizi.
Usipindishe habari...inakuaje sasa?
Tutaicheza wote au?
Nitakusaidia kupiga ngoma kisha wewe ujitahidi kuicheza.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…