Yaliyomsibu kaka yangu

Kaka yako nae hajaukwaa kweli??

Au walikua hawa do?? mie sijaelewa hii story dada Sky???

kama walikua hawaja do,then kaka yako ni mfano wa kuigwa 😉😉, wanaume wa JF wajifunze sio mnakutana na mdada Vuuuup Kesho yake mna….??
Walikuwa wana do na si unajua excitements kaka labda alikuwa anasafiri kwenye salt sea. Ila dada alikuwa kwenye dose ya milele.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TA-1024 using Tapatalk
 
Da Jane alimtaja mhusika, leo zamu yako kumtaja wa kike utuokoe wana JF wenzako!.
Tuokoe wauza mechi!!..
 
Tumuite Daby aje kutuombea[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyo atatuombea nini sasa[emoji134]
Tufanye tu shetani alitupitia maana hamna namna.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…