Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 41,983
- 12,703
Kikwete wamesema yupo Ethiopia, huyo Mkapa ndio sijui yupo wapi.!Mkapa na kikwete wako wapi?
Kikwete wamesema yupo Ethiopia, huyo Mkapa ndio sijui yupo wapi.!Mkapa na kikwete wako wapi?
Kweli kabisa jamaa walikuwa wanaongea sana.!Halafu watangazaji wa ITV wapunguze kuongea!...wawe wanatupia maneno ya hapa na pale, si kuwa kama wao ndio wenye shughuri. Mf. wakati wa mizinga na hata ukaguzi wa vikosi wanabwabwaja tu hata muziki wa brass band hausikiki!
Exactly, ameingilia majukumu yasiyo yake, pia alikuwa anachagua, Jaji Mkuu hakumsindikiza. Kamfanya hata Chief Protocal yule mama asionekane.Naomba kukuuliza hivi Mkuu wa Mkoa Paul Makonda siku hizi na yeye amekuwa Mtu wa Itifaki? Kwani namwona anafanya Kazi za Watu wa Protocol na kimsingi yeye anatakiwa tu kumpokea mgeni, kupeana nae mkono kisha kuwaachia Watu wa ( Kazi Maalum / Itifaki ) kuendelea na majukumu yao waliyosomea na kubobea nayo lakini cha kusikitisha yeye huyo huyo RC Makonda anaenda kumpokea Mgeni kisha yeye huyo huyo tena anawasindikiza karibu na kupanda ngazi tena huku akitoa maelekezo. Huyu Mkuu wenu wa Mkoa aache kuwa na sifa na kimbelembele na nina uhakika hata Watu wa Itifaki alionao pale anawakwaza. Kwanini hajifunzi na habadiliki?
Yani mpaka leo JK hujamjua tu, hana hayo mambo kabisa. Kama kweli hiyo stori basi mwingine asingesema watii maagizo ya Mkuu. JK yupo Ethiopia majukumu ya UN, Mkapa yupo Burundi. Na kama kususa angesusa Mama mwenyewe, lakini yupo. Usiwaze kipumbavJK vipi au hasira za bibie bado zinawaka! Simuoni hapa.
Kwa Leo kazidi kiherehere mbona wakuu wengine wa mkoa wa Dar hawakua na ki mbele front ka yeye.Kweli kabisa Mkuu na ndiyo maana nikasema ipo haja ya Yeye kupata mafunzo kidogo ya Kiitifaki ili asizidi kuumbuka na kujichoresha kwa Wabobezi wa masuala ya Kiitifaki. Hivi huwa hajishtukii sometimes?
BurundiKikwete wamesema yupo Ethiopia, huyo Mkapa ndio sijui yupo wapi.!
Ni kweli kabisa mkuu hata sasa hivi wanaropoka ropoka bistoria tu sijui ya zanzibar baada ya kuwaachia watazamaji waenjoi show!Kweli kabisa jamaa walikuwa wanaongea sana.!
Nashukuru kama na wewe umeliona hilo!Mkuu umenifungulia siku yangu kwa kunifanya nicheke kwani nilishaanza kuwa na hasira kwa upuuzi wa Kiitifaki aliokuwa akiufanya Rais wenu wa Jiji Mr. Kiherehere bin Sifa bin Kujipendekeza.
Nashukuru kama na wewe umeliona!
lazima itifaki izingatiwe!
Jecha S. Jecha naye yupo uwanjani
acha tuone kama atatangaza na ajira mupya!Jecha leo lazima atoke na tuzo ya heshima kwa sababu ya uchaguzi uliofanyika Zanzibar. Ngoja tusubiri Mkuu aanze kuhutubia!
Nimemuona Mama Jk,full tabasamu,full kicheko!Yani mpaka leo JK hujamjua tu, hana hayo mambo kabisa. Kama kweli hiyo stori basi mwingine asingesema watii maagizo ya Mkuu. JK yupo Ethiopia majukumu ya UN, Mkapa yupo Burundi. Na kama kususa angesusa Mama mwenyewe, lakini yupo. Usiwaze kipumbav
Nenda star tvNi kweli kabisa mkuu hata sasa hivi wanaropoka ropoka bistoria tu sijui ya zanzibar baada ya kuwaachia watazamaji waenjoi show!