Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,286
- 10,667
Picha hamna
ZipoPicha hamna
Mbona hukumchagua kama ulikuwa unampendaLowassa yupo?
Tunampenda sn sie watanzania
Wengine tupo Sigimbi TV yetu ni JFZipo
Vipi Lowasa yupo!?
Picha Zitakuja mkuuWengine tupo Sigimbi TV yetu ni JF
Namshangaa sana, namuona nyuma ya rais wkt mizinga inapigwa, waziri wa nchi anamshangaa, yule askali nyuma ya makonda ana smile tu. Something wrong with protocalityNaomba kukuuliza hivi Mkuu wa Mkoa Paul Makonda siku hizi na yeye amekuwa Mtu wa Itifaki? Kwani namwona anafanya Kazi za Watu wa Protocol na kimsingi yeye anatakiwa tu kumpokea mgeni, kupeana nae mkono kisha kuwaachia Watu wa ( Kazi Maalum / Itifaki ) kuendelea na majukumu yao waliyosomea na kubobea nayo lakini cha kusikitisha yeye huyo huyo RC Makonda anaenda kumpokea Mgeni kisha yeye huyo huyo tena anawasindikiza karibu na kupanda ngazi tena huku akitoa maelekezo. Huyu Mkuu wenu wa Mkoa aache kuwa na sifa na kimbelembele na nina uhakika hata Watu wa Itifaki alionao pale anawakwaza. Kwanini hajifunzi na habadiliki?
Makonda hajui yupo pale kama nani, huwa nahisi anajiona ana nafasi kubwa kwa JPM labda kuliko PM MajaliwaNamshangaa sana, namuona nyuma ya rais wkt mizinga inapigwa, waziri wa nchi anamshangaa, yule askali nyuma ya makonda ana smile tu. Something wrong with protocality
Unacheka nini? Umenifanya na Mimi nicheke hahahaha ha ha haaaaHa ha ha ha JPM huyoooooooooo
Rais sasa amepanda jukwaa maalum kupokea salamu toka kwa jeshi. Gwaride liko chini ya Kamanda Luteni Kanali Makanya Eras. Wimbo wa Taifa na mizinga 21 vinarindima.