Yaliyojiri Tanga: Mkutano wa Mgombea wa CHADEMA, E. Lowassa - Septemba 28, 2015

Mimi nipo tanga na uzuri leo tanga ni hali ya barid toka asubui mvua inanyesha na mkutanoni kulikua na watu si wengi hivyo kama alivokuja magufuli watu walikua wengi sana na hakuna alozimia wala kukosa pumz na kulikua na jua kali sana hii ya leo lowasa amekuja na ndege na amesimama dk 3 tu akakaa vurugu likaanzia mbele walikokua vikundi vyao ndo kusababisha vurugu na kubwa pilisi ndo wakatuliza na kama umati ungekua mkubwa polisi wasingeweza acheni uongo ukawa kwa tanga hawana watu wengi kama ccm
 
Hili ni balaaa si kitoto..!!

Nawashukiru sana team kampeni ya UKAWA kutokuendelea na mkutano huo ili kuzuia Maafa kama ya Uarabuni. Lazima utafutwe uwanja mwingine na siku nyingine ili wanatang wapate neno la Ukombozi.

BACK TANGANYIKA

Wallahi jamani naipenda cdm/ukawa
 
Nimecheki chanel ten,kweri yalikuwa mafuriko,.mzee alisema mafuriko hayazuiwi kwa mikono,kweli nimeamini maneno yake leo Tanga
 
"Kichwa chenye mvi ni taji ya utukufu, Kama kikionekana katika njia ya haki."Mithali 16:31,”Nyumba ya mtu mbaya itabomolewa; Bali hema ya mwenye haki itafanikiwa” Mithali 14:11..Haki huinua taifa; Bali dhambi ni aibu ya watu wo wote.Mithali 14:34 "Afadhali mtu akutwe na dubu aliyenyang'anywa watoto wake, Kuliko na mpumbavu katika upumbavu wake" Mithali 17:12. CCM mjiandae 25 Oktoba,2015,Sisi "Wapumbavu","malofa" na "mbumbumbu" tutakuwa katika ubora wetu nyumba yenu ITABOMOLEWA asubuhi mapema sana !!!Lofa mwenzangu, gonga LIKE twende pamoja na Lowassa!!
 

Umesahau morogoro mkuu
 
Leo tanga abiria wametembea kwa miguu baada ya magari na noah kuwa na kazi maalum ya kubeba watu kwenda kwenye mkutano wa ukawa ambao inasemekana bila kufanya wangekosa watu na kuibuia mtafaruku mkubwa miongoni mwao, umati wala tusitishike wana ccm
 
Duh, unaweza kuwa sio mzima wew!


 
acheni kudanganya watu umati gani huo, mafuriko ya kutengeneza,

rais ni Dr Magufuli
full stop
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…