Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Tabora: Tundu Lissu (CHADEMA), azindua Kampeni Kanda ya Magharibi katika viwanja vya Chipukizi

Lisu kamkimbia JPM ilikuwa wakutane Tinde wasalimiane, Lissu akazuga kwenda kwanmganga wakienyeji alikopitia sijui kaibukia tabora
Tutumieni Lugha za staha, tuna watu wengi wanatusikiliza
 
Usilinganishe Ethiopia na Tanzania. Njoo kahama watu wanakula mchele na kusaza ndio ulinganishe na nchi ambayo ina ukame miaka 40.
Haki za binadamiu zipi zinazominywa? Watu wanashinda kwenye vijiwe vya kahawa mpaka saa nne usiku wanajadili siasa.
Haki za banaadamu alizo maanisha yeye ni ndoa za jinsia moja (Ushoga).
 
Hivi ni kwanini kila Mkutano wa Lisu mnaita ni ya uzinduzi wa kampeni? Na kule Mbagala Zakhiem mlizindua nini?
 
Kwa Mujibu wa ratiba ya kampeni iliyotolewa na Chadema inaonyesha kwamba Mh Tundu Lissu leo atakuwa Tabora

=====

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia
CHADEMA TUNDU LISSU leo Septemba 3, 2020, atazindua kampeni kwa Kanda ya Magharibi, uzinduzi ambao utafanyika katika viwanja vya Chipukizi mkoani Tabora.
Kila la kheri Raia Mwenye utu na uthubutu TAL
 
Sasa hivi ni 3:01 mchana, lakini hatujapata picha kutoka eneo la tukio, hii unaonyesha kitego cha propaganda bado kinaendelea kuhalili picha ili baadaye muanze kuhadaa Umaa eti Lisu anakubalika.
 
Tupo kusini tunaendelea kuwadanganya watanzania masikini.wanaishi kwenye nyumba za majani na wanatembea bila kuvaa viatu.
IMG_20200903_140430.jpg
IMG_20200903_140112.jpg
 
mmm
Zonal inaguurations. Acha ushamba
Uongo sio zonal inauguration wewe acha hizo.Ingekuwa ni Zonal Dar es salaam mngezindua jimbo moja tu mbona ilikuwa majimbo matatu ndani ya mkoa mmoja? uzinduzi ulikuwa mbagala huku kwingine mnatapeli tu kama uzinduzi ni zonal ? Kawe na Segerea DAR ES SALAAM mlienda zindua nini wakati yote majimbo yaliyoko zone moja sawa na mbagala?
 
Nashauri awe anasubiri anakopita CCM baada ya siku 2 Lissu anaenda kuzima hoja
Kwani Magufuli na CCM yake wanahoja gani zaidi ya madalaja,bwawa la umeme ,na SGR,na kuwatukana WANANCHI kuwa WANYONGE,mpaka Lissu asubili.
 
Back
Top Bottom