Yaliyojiri: Mkutano wa Dr. Slaa - Mbeya 15 Sept 2013

Slaa anasema atanyoka na membe na jk ili wamweleze sababu zilizo mruhusu balozi wa china apande jukwaani na kinana kwenye mkutano wa ccm


Wenyewe wameshindwa kujielezea jukwaani wameamua kutembea na Mchina vijijini,kweli sikio la kufa alisikii dawa.
 
Sugu anaomba ruhusa kwa wana mbeya kua siku nyingine ndugai akizingue wamruhusu akampe mbili tatu pale kitini, wananchi wanamshanilia na kusema ndiooooooooooooo

Nazidi kuamini Sugu ni empty mind sasa mwanaume mzima anaongea pumba hizi. Kweli waliomchagua nadhani hawana vichwa.
 
mkuu Chilisosi. naona umempumzisha pacha wako.
Mkuu hujui kuna watu wana nafsi mbili? Mchana muumini wa dini fulani usiku mchawi.Haya majitu ya hivi ni ya kuyadharau yashajazwa upepo ubongoni mpaka umeharibika. Bora ufuge mbwa utamfundisha akakuelewa kuliko binadamu ambaye ubongo wake ushaharibiwa.
 
attachment.php
 
....

....Kwa jina la CHADEMA!!!!

...sisiemu toka!! toka!!! toka!!! toka!!! toka!!!!

...Umewafanya vijana kuwa omba omba na taaluma zao kupotea !!! Kila siku wao ni kuomba omba ...kila kukicha wao na Lumumba.....

....toka!! toka !! toka !!!! toka!!!

....hata ukikimbilia kwenye noah ....noah nao watakufukuza!!!!

Kwi! Kwi! Kwi! Kwi!
 
Mbeya leo imedhilisha wamechoka CDM. Watu walijaa kwenyemahubiri, mkutano ukawa kiduchu. Wengi walitoka Ileje, mbozi, Momba, Lungwe na Mbalali. Lakn hata robo uwanja haukujaa. Hata hivyo Washukuru Waumini wa Dini walio kuwa na Tamasha pale wamesaidia kuchakachua picha.
 

Enzi hizo Watanzania walikuwa hawaijui vizuri CHADEMA ndio maana walikuwa wakijaa kwenye mikutano.

Lakini kwa sasa, CHADEMA ina hutubia miti tu maana Watanzania hawana muda wa kupoteza kusikiliza walaghai.
 
Enzi hizo Watanzania walikuwa hawaijui vizuri CHADEMA ndio maana walikuwa wakijaa kwenye mikutano.

Lakini kwa sasa, CHADEMA ina hutubia miti tu maana Watanzania hawana muda wa kupoteza kusikiliza walaghai.

We binti hamida acha ukicheche.
 
Tupinge ama tusipinge CHADEMA wanakubarika acheni unafiki, KIKWETE mwenyewe anafahamu hilo, CHADEMA hiki ni kipindi chao, CCM magamba tu hayavuriki hawana jipya, Kwenye uwanja huohuo wa RUANDA NZOVWE waliacha kufanyia mikutano kwa kukosa watu kabisa hata wa kukodi kwa marori, na wasafwa sasa wamewageuka, wamejua wanadanganywa. CHADEMA HUMWANYA!
 
Back
Top Bottom