Yaliyojiri: Mkutano wa Dr. Slaa - Mbeya 15 Sept 2013

Yaliyojiri: Mkutano wa Dr. Slaa - Mbeya 15 Sept 2013

Unauliza alienda kumkinga Mbowe akiwa kama nani!, OK, akiwa kama mbunge wa CHADEMA, na sio mbunge wa CHADEMA tu bali kila mbunge wa bunge la JMT anawajibu wa kuhakikisha kanuni zinafuatwa.

Ina maana unataka kuhalalisha kuwa alichofanyiwa ni sawa tu kisa kamkinga Mbowe?, Hata hivyo naomba nikusahihishe, hakuwa peke yake kwenye kumkinga Mbowe, ni karibu wabunge wote wa CDM walimzinga Mbowe asitolewe, picha na clips zipo humuhumu zitafute ujiridhishe.

Lakini kwa nini yeye zaidi ndio aliandamwa?, wapo wanaojaribu kuhusianisha tukio hili na tukio la Sugu kudaiwa kumtukana Pinda japo mahakama ilitupilia mbali, wanajenga hoja kwamba uongozi wa bunge ulikuwa na hasira nae.
Ni ukweli kabisa katika dunia hii kila tatizo huwa lina solution yake.

Kama huo ndiyo msingi wako wa hoja. Unataka kuniambia kama kanuni hazifuatwi ndani ya bunge alichofanya Mh. Mbilinyi ndiyo solution iliyopo katika kanuni hizo?.

Sitaki kumjadili Naibu Spika na matamshi yake kwa sababu hajadiriki kwa maana kuwa hakuzitendea haki kanuni za bunge na kikubwa zaidi, hakutumia hata tone dogo la hekima na busara.
 
mbona watu walikuwa wengi? walifanya mkutano wa kawaida kwani pembeni kuna mkutano wa dini. hivyo walipunguza mzuka ili kutovuruga mkutano wa dini pembeni yake.
 
kUMBE kuna muungano wa wabunge wa mikoa, kwaiyo mwanza na kilimanjaro wanafanya vizuri, embu nijuzeni vyema juu ya hawa wabunge wa hii mikoa, nini wanafanya!
 
chezea viroba wewe...leo sio tar 19-9-2013
naona viroba vinatembezwa apo mkutanoni na pusha wenu anatembeza cha ukucha ili mtukane vizuri

Mkuu afadhali Viroba, wa Lumumba wao na Sembe
 
Specialist,

Kama ndio hiyo picha ya mkutano wa jana basi nasikitika kusema huo mkutano ulishawahi kufanyika mwaka mmoja uliopita, kwa maana hiyo picha mimi ninayo muda mrefu tu kwenye device yangu.

Umelaghaiwa ukalaghaika.

kama bado unabisha hatuna namna nyingine ya kukuaminisha/kukusaidia labda jaribu kutembelea 'mbeya yetu blog' unaweza kubadili itikadi

weka ulizonazo basi mkuu
 
Last edited by a moderator:
Mkuu nisaga hizo vitu za sup. Tunajadili mada iloko sasa mshikaji kuipondea cdm unaanza kutema hata vitu visivo na mashiko kwenye jukwaa. Et na wewe mwanaharakati! Harakati social/humanitia? Bora ukae kimya.. Harakati ni Ng'ox mdogo wangu..

Ha ha ha nafurahi kusikia harakati ng'ox sina ugomvi nalo hilo au humanitia ama social whatever....ila swala ni harakati.... hata ungezifanyia Msalato kwenye nyama na viroba sawa tu ....eneo halibadirishi harakati za ukombozi kuwa za mapenzi ila dhamira ya dhati
 
Back
Top Bottom