Yaliyojiri: Mkutano wa Dr. Slaa - Mbeya 15 Sept 2013

Binti kuwa mpole basi sema unaomba kuwekewa picha. Weee vipi!!!! Umepewa namba na basha unagongea vocha. "Please recharge me. Tafadhali niongezee pesa kwenye simu yangu" Tulia umeshapakatwa.

....Mkuu kweli huyu dogo tangia pale shybush alikuwa na tabia hizo!!!
 
Mkuu,

Tunajua kuwa watu ni wachache uwanjani na ili kuondoa aibu hiyo umeamua kuleta habari bila picha. Weka picha hata kama haziridhishi na hiyo imekuchanganya mpaka umekosea tarehe.

CHADEMA huu ni mwaka tasa kwenu.
we kichaa kaa kimya nipo hapa watu wameukimbia mkutano wa injili wamekuja kwa slaa kuna nyomi ya kufa mtu. Wewe unae subiri picha endelea kusubiri paka wewe
 
Kwa hiyo leo mzinzi na mvuta bangi jukwaa moja sipati picha matusi yatakayoshuka hapo,
mkuu weka picha hata za mwaka 2010 make leo watu hawajaja kujumuika na wavuta bangi hao.
 
Picha slaa stage now

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Jamani Mimi nipo uwanjani. Naamini hapa kuna kitu CDM wanajifunza. Mapokezi ya leo ni watu wachache sana. Hata kauwanja wanakofanyia nusu yake hajafka. Hakuna kinachosemwa. Wanasema Sugu ni Rais na Slaa ni Raisi. Pembeni kuna Mkutano wa Injili unaendelea. Anayefahamu uwanja wa CCM RWANDA NZOVWE ndipo wanafanyia. But hata robo uwanja hawajajaza. Wanamsema Makinda mara Mwiguru. Lakni nashangaa wanasema elimu ya Makinda na Ndugai, lakni hawamsemi Sugu na Mnyika Elimu zao.

Pole dogo jamaa wamekugusa kwenye SUP umeamua kunyweaaa! Ni bora uache umbea urudi home kujisomea ili mambo yako ya SUP yaende vizuri.
Lakn km wanakusingizia dogo usiogope, funguka na mwaga mambo hadharani.
 
Jamani Mimi nipo uwanjani. Naamini hapa kuna kitu CDM wanajifunza. Mapokezi ya leo ni watu wachache sana. Hata kauwanja wanakofanyia nusu yake hajafka. Hakuna kinachosemwa. Wanasema Sugu ni Rais na Slaa ni Raisi. Pembeni kuna Mkutano wa Injili unaendelea. Anayefahamu uwanja wa CCM RWANDA NZOVWE ndipo wanafanyia. But hata robo uwanja hawajajaza. Wanamsema Makinda mara Mwiguru. Lakni nashangaa wanasema elimu ya Makinda na Ndugai, lakni hawamsemi Sugu na Mnyika Elimu zao.
Mwongo mkubwa wewe huoni hata aibu lol!
 
Slaa anasema atanyoka na membe na jk ili wamweleze sababu zilizo mruhusu balozi wa china apande jukwaani na kinana kwenye mkutano wa ccm
 
Kwa hiyo leo mzinzi na mvuta bangi jukwaa moja sipati picha matusi yatakayoshuka hapo,
mkuu weka picha hata za mwaka 2010 make leo watu hawajaja kujumuika na wavuta bangi hao.
na bado mtaweweseka sana mwaka huu ccm na mafisadi cdm na wananchi. Hakika ungekuepo hapa uwanjani ungebaki na miaibu tu.
 
Dr Slaa

Tunataka kikwete atoe majibu kuhusu mtoto wake Ridhiwan kukamatwa na madawa ya kulevya China! Ndio chanzo cha Tanzania kusain mikataba kisiri na Rais wa China,data tunazo
 
Chadema wanapenda sana vurugu. Msishangae kesho sugu aijamba bungeni ili asikike
 
chezea viroba wewe...leo sio tar 19-9-2013
naona viroba vinatembezwa apo mkutanoni na pusha wenu anatembeza cha ukucha ili mtukane vizuri

Mbona unakuwa mwepesi wa kusahau mbona ccm mlisahau siku ya kuzaliwa chama chenu mwaka huu inamaana ni viroba?
 
Mkuu,

Tunajua kuwa watu ni wachache uwanjani na ili kuondoa aibu hiyo umeamua kuleta habari bila picha. Weka picha hata kama haziridhishi na hiyo imekuchanganya mpaka umekosea tarehe.

CHADEMA huu ni mwaka tasa kwenu.

huna hata aibu ujaona zile picha kule kwenye uzi wa sugu?
 
Mkuu,

Tunajua kuwa watu ni wachache uwanjani na ili kuondoa aibu hiyo umeamua kuleta habari bila picha. Weka picha hata kama haziridhishi na hiyo imekuchanganya mpaka umekosea tarehe.

CHADEMA huu ni mwaka tasa kwenu.

We unataka yanayoongelewa au unataka picha!Si uwende jukwaa la picha.
 
Mkuu,

Tunajua kuwa watu ni wachache uwanjani na ili kuondoa aibu hiyo umeamua kuleta habari bila picha. Weka picha hata kama haziridhishi na hiyo imekuchanganya mpaka umekosea tarehe.

CHADEMA huu ni mwaka tasa kwenu.

Unataka aibu wewe, lini chadema ikapata watu wachache mkutano wa hadhara Mbeya?
 
Back
Top Bottom