Yaliyojiri: Mkutano wa Dr. Slaa - Mbeya 15 Sept 2013

Jamani Mimi nipo uwanjani. Naamini hapa kuna kitu CDM wanajifunza. Mapokezi ya leo ni watu wachache sana. Hata kauwanja wanakofanyia nusu yake hajafka. Hakuna kinachosemwa. Wanasema Sugu ni Rais na Slaa ni Raisi. Pembeni kuna Mkutano wa Injili unaendelea. Anayefahamu uwanja wa CCM RWANDA NZOVWE ndipo wanafanyia. But hata robo uwanja hawajajaza. Wanamsema Makinda mara Mwiguru. Lakni nashangaa wanasema elimu ya Makinda na Ndugai, lakni hawamsemi Sugu na Mnyika Elimu zao.
Vp dogo umeshaenda kupiga supplementary zako Udom au uko Mbeya unapiga vijembe jf ilhali sap zinakusubiri.....UTADISCO we boya wewe!!
 
acha uongo hakuna aliye mtaja Mwigulu hapa nipo uwanjani

Achana na huyu dogo Mkuu ni mtoto mdogo sana kiumri, kiikra na mtazamo anasap kibao chuoni kwao Udom zinamsubiri kutwa kuzunguka dom mjini kipindi cha bunge kuomba buku buku za banana kwa wabunge wa magamba wakijipendekeza kwamba watawaunga mkono wakina Lowasa
 
NAMI nipo uwanjani! Watu ni wengi sana na wanazidi kumiminika [idadi tofauti na ile ya watu 100 ya ccm kule shy] KIMSINGI NGUVU YA SUGU BADO 200%
 
Sugu anaomba ruhusa kwa wana mbeya kua siku nyingine ndugai akizingue wamruhusu akampe mbili tatu pale kitini, wananchi wanamshanilia na kusema ndiooooooooooooo
 
Sugu katangaza kujitoa ktk umoja wa wabunge kutoka mby kutokana na unafiki wa wabunge mary mwanjelwa na zambi; kutokana na kumcheka wakati akitolewa bungeni!
 
Mkuu,

Tunajua kuwa watu ni wachache uwanjani na ili kuondoa aibu hiyo umeamua kuleta habari bila picha. Weka picha hata kama haziridhishi na hiyo imekuchanganya mpaka umekosea tarehe.

CHADEMA huu ni mwaka tasa kwenu.

Ficha aibu, kichwa chako ndo kimekosea. Omba hata kalenda iwe inakusaidia. Huo utani wa kweli lakini hebh rushia picha mkutano a kinana tuone unavyoendelea
 
kila la kheri makamanda kuweni makini na magaidi wa green guard ila kwa Mungu yote yawezekana.
 
Mkuu,

Tunajua kuwa watu ni wachache uwanjani na ili kuondoa aibu hiyo umeamua kuleta habari bila picha. Weka picha hata kama haziridhishi na hiyo imekuchanganya mpaka umekosea tarehe.

CHADEMA huu ni mwaka tasa kwenu.

Binti kuwa mpole basi sema unaomba kuwekewa picha. Weee vipi!!!! Umepewa namba na basha unagongea vocha. "Please recharge me. Tafadhali niongezee pesa kwenye simu yangu" Tulia umeshapakatwa.
 
attachment.php
 
Jamani Mimi nipo uwanjani. Naamini hapa kuna kitu CDM wanajifunza. Mapokezi ya leo ni watu wachache sana. Hata kauwanja wanakofanyia nusu yake hajafka. Hakuna kinachosemwa. Wanasema Sugu ni Rais na Slaa ni Raisi. Pembeni kuna Mkutano wa Injili unaendelea. Anayefahamu uwanja wa CCM RWANDA NZOVWE ndipo wanafanyia. But hata robo uwanja hawajajaza. Wanamsema Makinda mara Mwiguru. Lakni nashangaa wanasema elimu ya Makinda na Ndugai, lakni hawamsemi Sugu na Mnyika Elimu zao.

Hata ungekuwa ndani ya helkopita ya Rais Slaa bado hungeona kitu,

Mpuuzi kabisa wewe!
 
Dada hamida, pls acha
kuweweseka utakufa bure kwa presha.hebu tulia kama vile unakatwa
nywele..tulia dawa ikuingie vizuri.

Siyo atulie kama ananyolewa kwani ukinyolewa unaweza kuongea na kinyozi wako,huyo mwambie atulie kama anakunya.
 
Back
Top Bottom