Chadema is planting seeds of its own destruction,juzi nimekutana na matingo kama thelathini WA Malori ya mizigo katika kivuko cha mwanza sengerema,hawa sio wasomi lakini walikiri kuwa wanachama WA chadema,lakini hakika nayasema haya bila chumvi kuwa Chadema wabunge wahuni hatutawataka tena wakirefer tiktaka za Sugu na wenzake,kilichonishangaza kumbe watu WA kawaida sana wanafuatilia mienendo ya wabunge,tingo mmoja WA Lorry lililokua limepakia maji ya Rwenzori akasema chadema wanaleta mambo ya club hadi bungeni,kama Kuna mahali chadema hakika mmejibomoa ni Bangi za sugu za bungeni,sikuamini kuwa pamoja na vyombo vya habari kuwalaani chadema akiwemo muhariri shupavu WA Nipashe,kumbe hata wasukuma mikokoteni wanawaona wuhu,