Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Mapokezi ya Tundu Lissu Kongwa na Dodoma Mjini

SALAAM ZA GWAJIMA KUTOKA MWISHO WA RELI.
1. Ulituaidi Chuo Cha Marubani hukutimiza.
2. Uliaidi kujenga Chuo Cha Biblia, hukutimiza.
3. Uliaidi kujenga Hospitali Kata ya Salasala, hukutimiza Hilo.
4. Uliaidi kumfufua Amina Chifupa, Hukutimiza pia.
5. Uliaidi kugeuza Misikiti kuwa Sunday schools, Hujatimiza.
6. Umeshindwa kulipia semitrailer mbili bandalini (90Mil.)
7. Ulituaidi na ukatutaka kuchanga fedha za kuanzisha TV lkn hujatimiza.
8. Ulituaidi na kutuchangisha fedha za kuanzisha Radio, lkn hujatimiza.
9. Ulituuzia viwanja (2015) kule Kiluvya (Mwanakondoo), lkn mpaka Leo hujatupatia.
10. Ulituaidi kuleta ndege 12 za abiria, lkn hujatimiza.
11. Ulituaidi treni ya umeme lkn hujatimiza.
12. Ulituaidi lujenga kanisa lenye uwezo wa Kubeba watu 250,000 kwa ibada moja, lkn hujatimiza na bado tuko chini ya mabati.
13. Leo unatuaidi kwenye kampeni kuwapeleka wananchi wa Kawe Marekani📷📷📷📷, Askofu! Askofu! Askofu! Mungu anakuona ujue.....dhambiya Uongo ni ya shetani mwenyewe kabisa.
14. Aidha, bado tunakumbuka juu ya ile video. Maana mwenendo wako baada ya ile video umebadilika Sana, ijapokuwa bado hatuamini Kama Kuna mahusiano.
Embu tuachie Kawe yetu bana...
Hatari aisee,ifungulie thread bc
 
Ngoma ilivyonoga Jana Tabora
IMG_20201016_180938_3.jpg
IMG_20201016_180804_4.jpg
IMG_20201016_173248_2.jpg
IMG_20201016_173215_4.jpg
IMG_20201016_173130_3.jpg
 
SALAAM ZA GWAJIMA KUTOKA MWISHO WA RELI.
1. Ulituaidi Chuo Cha Marubani hukutimiza.
2. Uliaidi kujenga Chuo Cha Biblia, hukutimiza.
3. Uliaidi kujenga Hospitali Kata ya Salasala, hukutimiza Hilo.
4. Uliaidi kumfufua Amina Chifupa, Hukutimiza pia.
5. Uliaidi kugeuza Misikiti kuwa Sunday schools, Hujatimiza.
6. Umeshindwa kulipia semitrailer mbili bandalini (90Mil.)
7. Ulituaidi na ukatutaka kuchanga fedha za kuanzisha TV lkn hujatimiza.
8. Ulituaidi na kutuchangisha fedha za kuanzisha Radio, lkn hujatimiza.
9. Ulituuzia viwanja (2015) kule Kiluvya (Mwanakondoo), lkn mpaka Leo hujatupatia.
10. Ulituaidi kuleta ndege 12 za abiria, lkn hujatimiza.
11. Ulituaidi treni ya umeme lkn hujatimiza.
12. Ulituaidi lujenga kanisa lenye uwezo wa Kubeba watu 250,000 kwa ibada moja, lkn hujatimiza na bado tuko chini ya mabati.
13. Leo unatuaidi kwenye kampeni kuwapeleka wananchi wa Kawe Marekani, Askofu! Askofu! Askofu! Mungu anakuona ujue.....dhambiya Uongo ni ya shetani mwenyewe kabisa.
14. Aidha, bado tunakumbuka juu ya ile video. Maana mwenendo wako baada ya ile video umebadilika Sana, ijapokuwa bado hatuamini Kama Kuna mahusiano.
Embu tuachie Kawe yetu bana...
Natamani hizi nyundo apigwe nazo Gwajiboy siku ya kufunga kampeni.
 
Tundu Lissu ana nini lakini?

Mbona wenzake wanachoka yeye anazidi kuchanja mbuga hivi?

Anakera kama nini huyu, kutaka watu waanguke na mapressure.
Aisee mimi najiamini ni mchapa kazi sana. Kuna wakati nachapa kazi 48hrs mfululizo bila kulala wala kupumzika lakini huyu Mwamba nimemvukia kofia aisee.

Khaa!!
 
Mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu leo anaendelea na kampeni zake za kuingia Ikulu katika mikoa ya kati.

Mgombea huyo ambaye kila dalili inaonyesha atapata ushindi mkubwa ataingia jimboni Kongwa anakotokea aliyekuwa Spika wa Bunge Job Ndugai.

Kuna Maandalizi makubwa ya mapokezi yameandaliwa na wananchi wa Kongwa huku wengi wakiwa hawamtaki Job Ndugai aliyetumia hila kupitia Tume ya Uchaguzi kumuondoa mgombea wa CDM na kujipitisha bila kupingwa.

Ndugai anakumbukwa kwa kumnyima Tundu Lissu haki yake ya kutibiwa alipopigwa Risasi na Kama vile haikutosha akamfukuza ubunge huku akiwa kalala kitandani akitibiwa.

Mara baada ya kutoka Kongwa Tundu Lissu ataingia Dodoma Mjini kumalizika kampeni zake kwa siku ya leo.

Hata hivyo mapema asubuhi hii kabla ya kuingia Kongwa Lissu anatarajiwa kufanya kampeni maeneo ya Manyoni na Bahi.
Huyu Mwamba anatisha sana.

Jamaa anapiga huku anapiga kule.
 
Wakati serikali ina hamasisha watu waende kujiandikisha kwa ajili ya uchaguzi mkuu, Chadema walikua wakihamasisha watu wasiende kujiandikisha mbaka ipatikane katiba Mpya. Chakushangaza baada ya matokeo wata lalamika wameibiwa kura.
Vitambulisho vya kupiga kura tunavyo acha kujifariji
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom