Yaliyojiri Mahakama ya Kisutu: Kesi ya ndugu Maxence Melo - Hatimaye apata dhamana

Serikali ya viwanda serikali ya viwanda ngonjera hii haitoki midomoni lakini vitendo sifuri. Kila siku ni mwendo wa kutumia maguvu kutafuta wakosoaji
 
Ukiwa dhamira usiweke hadharani jokolilo atakutafuta sasa hivi akuweke kwenye kiroba hukuwaona wale waliozikwa kimya2
akina kagame walinyanyasika sana ila saivi unaona wanachokifanya. we tambua malipo ni hapa hapa duniani tuu
 
Wakuu Leo hii MKURUGENZI Mtendaji wa Jamii Media na mwanzilishi wa mtandao maarufu wa JamiiForums na Fikra Pevu, atapandishwa Kizimbani Ikiwa ni pamoja na kushughulikia dhamana yake.

============

UPDATES!

=> Maxence Melo ameshafikishwa Mahakama ya Kisutu, taratibu za kumfikisha kizimbani kwa ajili ya kusikilizwa maombi yake dhamana bado zinasubiriwa...

=> Ndugu Maxence Melo amepatiwa dhamana muda huu kwa makosa yake anayoshtakiwa likiwemo la kuendesha tovuti ambayo haijasajiliwa na Serikali.

View attachment 448131
Maxence Melo mwenye nguo nyeusi katikati, akiongea na waandishi wa habari katika Hotel ya Serena baada ya kuachiwa kwa dhamana.

Mungu ni mwema. Haki itendeke tuendelee kukutumbua majipu.
 
Kinachowakera wakubwa si habari za uongo maana uongo hauumi! Bali kinachowauma ni habari za kweli zilizofanyika gizani/sirini halafu ghafla zinaanikwa hadharani! Ukweli unauma!

Huo ndiyo ukweli ambao JOHN POMBE MAGUFULI hautaki na anataka kuuzima kwa kutumia malaika zake wa shetani!
Nakumbuka maneno ya Mkapa Rais msitahafu aliyokuwa akiyatumia kwene speech zake,"UKWELI NA UWAZI."
Maneno kama haya kwa Rais JPM ni msamiati mgumu saaaana!!!!!
 
Juzi nilikuwa nasikia maelezo ya serikali kuhusu kupanda kwa bei ya sembe wakidai eti ni kawaida kwa miezi kama hii bei ya sembe kupanda, majibu mepesi mpaka unatamani kutukana kwa hasira

Tanzania kwa mara ya kwanza inatawaliwa na mijitu isiyokuwa na VISION wala MISSION( Maono au Malengo)! Badala yake JPM na Majaliwa wanatawala kwa kuongozwa na matukio na mihemko!!!
Kama mtu ame-note JPM au PM wake hawanaga lolote la kuongea au ubunifu wa jambo lolote kwa maslahi ya nchi!!!
Kazi yao kubwa imekuwa ni KUVIZIA KIONGOZI AKOSEE HALAFU ndiyo wanaajitokeza kwa mbwembwe na mikwara kibao!!!
Angalia issue ya Chingas Jijini Mwanza, angalia issue ya Faru John, angalia issue ya Mkurugenzi wa NIMR Bi. Malechela, angalia issue ya Dangote n.k. na n.k.
Kiongozi mzuri ni yule anayeonyesha njia kusudi watu wasipotee au kukosea njia!But kiongozi anayevizia watu wakosee ili afurahie KUWATUMBUA ni bogus!!
 
Itabidi ndani Kwa ndani ataje wanaoishi Dar ili tujue waliokwenda mahakamani kudhamini au kuangalia mwenendo Wa mashtaka ili tuwadelete wanafiki wanaoanfika wako dar na hawakutimiza majukumu
 
Wakuu Leo hii MKURUGENZI Mtendaji wa Jamii Media na mwanzilishi wa mtandao maarufu wa JamiiForums na Fikra Pevu, atapandishwa Kizimbani Ikiwa ni pamoja na kushughulikia dhamana yake.

============

UPDATES!

=> Maxence Melo ameshafikishwa Mahakama ya Kisutu, taratibu za kumfikisha kizimbani kwa ajili ya kusikilizwa maombi yake dhamana bado zinasubiriwa...

=> Ndugu Maxence Melo amepatiwa dhamana muda huu kwa makosa yake anayoshtakiwa likiwemo la kuendesha tovuti ambayo haijasajiliwa na Serikali.

View attachment 448131
Maxence Melo mwenye nguo nyeusi katikati, akiongea na waandishi wa habari katika Hotel ya Serena baada ya kuachiwa kwa dhamana.

NCHI HII HAITAKI CHACHU YOYOTE YA MAENDELEO. MTANDAO HUU UNAWEKA UHURU WA KIFIKRA AMBAO NI HATARI SANA KWA SERIKALI PORAJI.
 
Afadhali Mola umesikia duaa zangu na kuweza kumfanyia Max wepesi dhidi ya dhamana yake, nakuomba Mola huendee kumlinda zaidi na humuepushie mabaya yanayodhamiriwa na wakoloni Weusi. Allah is great.
 
Max tunakupenda sana, kama kuna jambo lolote la kurekebisha kwa maslahi ya nchi na raia wake jitahidi ulifanye ila pia isije kuwa ni kwa ajili tu ya maslahi ya watawala na viongozi wachache walioko madarakani. Hakuana kitu kizuri kama uhuru hasa unapotumiwa vizuri.
 
Wakuu Leo hii MKURUGENZI Mtendaji wa Jamii Media na mwanzilishi wa mtandao maarufu wa JamiiForums na Fikra Pevu, atapandishwa Kizimbani Ikiwa ni pamoja na kushughulikia dhamana yake.

============

UPDATES!

=> Maxence Melo ameshafikishwa Mahakama ya Kisutu, taratibu za kumfikisha kizimbani kwa ajili ya kusikilizwa maombi yake dhamana bado zinasubiriwa...

=> Ndugu Maxence Melo amepatiwa dhamana muda huu kwa makosa yake anayoshtakiwa likiwemo la kuendesha tovuti ambayo haijasajiliwa na Serikali.

View attachment 448131
Maxence Melo mwenye nguo nyeusi katikati, akiongea na waandishi wa habari katika Hotel ya Serena baada ya kuachiwa kwa dhamana.

pole bwana melo kwakutulinda mapambano yaendelee
 
Pole Maxence , siku zote haki inachomachoma ila ni na imani wataelewa tu jamii forum ni nini
 
Hii habari haipewi kipaombele na Millardayo kwenye applyfier kwani kosa la 3 pia linamuhusu.
 
Binafsi naona kile ambacho sisi kama watanzania tunatakiwa kufanya...tusisite na wala tusichelewe sana..

leo faru john kawa maarufu kuliko miili ya watu waliouliwa na kutupwa mtoni.
 
nILIANZISHA UZI ASUBUHI TUMCHANGIE WALAU PESA YA SODA WATU WAKAA KIMYA WEEE CHAKUSHANGAZA NAONA WANAPIGA DOMO KWENYE HUU UZI ETI WANAMPENDA?? KWELI KABSA?? KWELI WATANZANIA WANAFIKI
Mie naona shida siyo pesa. Watu waandamane wakamtoe Max. Pesa ndiyo zitamsaidia, lakini unafikiri utapeleka ujumbe vipi kwa wale wanaomnyanyasa? Maana hao ndiyo mizizi ya tatizo. Tukiwaachia wataendelea kufanya hivi kila wanapojisikia. Wanatakiwa kujua tunamwitaji Max. Watu wanaogopa kuandamana au kuanzisha maandamano na hapo ndipo tunawapisha wanyayasaji.
 
Tanzania kwa mara ya kwanza inatawaliwa na mijitu isiyokuwa na VISION wala MISSION( Maono au Malengo)! Badala yake JPM na Majaliwa wanatawala kwa kuongozwa na matukio na mihemko!!!
Kama mtu ame-note JPM au PM wake hawanaga lolote la kuongea au ubunifu wa jambo lolote kwa maslahi ya nchi!!!
Kazi yao kubwa imekuwa ni KUVIZIA KIONGOZI AKOSEE HALAFU ndiyo wanaajitokeza kwa mbwembwe na mikwara kibao!!!
Angalia issue ya Chingas Jijini Mwanza, angalia issue ya Faru John, angalia issue ya Mkurugenzi wa NIMR Bi. Malechela, angalia issue ya Dangote n.k. na n.k.
Kiongozi mzuri ni yule anayeonyesha njia kusudi watu wasipotee au kukosea njia!But kiongozi anayevizia watu wakosee ili afurahie KUWATUMBUA ni bogus!!

Huo ni ukweli kabisa. Hakuna nchi inayoweza kutawaliwa na mtu mmoja au watu wawili ikawa salama. Ni hatari sana. Tena mbaya zadi JPM ni Iddy Amin Dada wa pili. Ni kiongozi dikteta kabisa. Hajali matakwa ya wananchi, na anajifanya anajali kwa kutamka mdomoni!!!!!
 
Mie naona shida siyo pesa. Watu waandamane wakamtoe Max. Pesa ndiyo zitamsaidia, lakini unafikiri utapeleka ujumbe vipi kwa wale wanaomnyanyasa? Maana hao ndiyo mizizi ya tatizo. Tukiwaachia wataendelea kufanya hivi kila wanapojisikia. Wanatakiwa kujua tunamwitaji Max. Watu wanaogopa kuandamana au kuanzisha maandamano na hapo ndipo tunawapisha wanyayasaji.
nice
 
Naamini hajavunja sheria. na mawakili wake watamtetea ipasavyo. The good thing ni kwamba he doesn't have to prove anything. waliomshitaki ndo inabidi walete ushahidi kwamba kavunja sheria of which naamini atawashinda InshaAllah.
 
Back
Top Bottom