Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 2,797
- 11,959
Wakuu Leo hii MKURUGENZI Mtendaji wa Jamii Media na mwanzilishi wa mtandao maarufu wa JamiiForums na Fikra Pevu, atapandishwa Kizimbani Ikiwa ni pamoja na kushughulikia dhamana yake.
============
UPDATES!
=> Maxence Melo ameshafikishwa Mahakama ya Kisutu, taratibu za kumfikisha kizimbani kwa ajili ya kusikilizwa maombi yake dhamana bado zinasubiriwa...
=> Ndugu Maxence Melo amepatiwa dhamana muda huu kwa makosa yake anayoshtakiwa likiwemo la kuendesha tovuti ambayo haijasajiliwa na Serikali.
Maxence Melo mwenye nguo nyeusi katikati, akiongea na waandishi wa habari katika Hotel ya Serena baada ya kuachiwa kwa dhamana.