Kuna taarifa kuwa sugu amezimia mkuu, hebu fuatilia hilo utujuze
Asante mkuu kwa updates, kumbe nawe ni mchagga, naona umeandika nji, hahaha haaa haaa haaa. Nimetania tunjiwa 37 wanarushwa kama ishara ya amani na upendo kwa nji yetu na kudumisha kwa amani iliypo safi sana kwa tendo hilo.